Asanteni sana wana jf nimeimprove kwa michango yenu

UNIQUEMAN1

JF-Expert Member
Mar 20, 2018
378
448
Ni mara nyingi nimekuja kwenu kuhusiana na wife wangu. Kwa kweli nimepata darasa kubwa sana kwenu, hakika nikajihisi nimetua mzigo fulani. Kama nilivyoeleza kwenye baadhi ya thread kuwa alinisababisha hadi nikawa mnywa Pombe, sigara n.k kwa kauli zake (thread nitaziweka). Hakika mapenzi yanauwa, hasa kama una moyo mwepesi kama mimi. Nikiangalia mambo niliyofanya kisa mwanamke nashangaa.

Mawazo yenu wana Jf yamenijenga vya kutosha. Mungu awabariki sana . Niwashauri pia mwingine a apokuja na suala siriaz kama langu, msisite kumtoa kwa ushauri kama mlivyofanya kwangu. Mtawaokoa wengi bila kujua. Pia kwa namna nyingine waweza muongezea maumivu eidha kwa kumkejeli au dhihaka


Hali ilikuwa imefika huku
IMG_20200105_084810_7.jpeg
IMG_20200105_084956_9.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana..
Hivyo vipisi nikajua ulikua unapoga Cigar..
Kunywa sana maziwa kuyanusuru mapafu na maini yako.
 
Jf ni mpango mzima.....na makachaa wa humu wana juwa kutofautisha hadithi za kutunga na issue serious...

Long live jf
 
 
 

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umefanya maamuzi gani mkuu??
tupe mrejesho wa maamuzi yako ambayo yamekusaidia na kuja kushukuru hapa!
maana coments za wadau ni nyingi sana na hazifanani, wewe ulifata ushauri upi uliokujenga
Ni mara nyingi nimekuja kwenu kuhusiana na wife wangu. Kwa kweli nimepata darasa kubwa sana kwenu, hakika nikajihisi nimetua mzigo fulani. Kama nilivyoeleza kwenye baadhi ya thread kuwa alinisababisha hadi nikawa mnywa Pombe, sigara n.k kwa kauli zake (thread nitaziweka). Hakika mapenzi yanauwa, hasa kama una moyo mwepesi kama mimi. Nikiangalia mambo niliyofanya kisa mwanamke nashangaa. Mawazo yenu wana Jf yamenijenga vya kutosha. Mungu awabariki sana . Niwashauri pia mwingine a apokuja na suala siriaz kama langu, msisite kumtoa kwa ushauri kama mlivyofanya kwangu. Mtawaokoa wengi bila kujua. Pia kwa namna nyingine waweza muongezea maumivu eidha kwa kumkejeli au dhihaka


Hali ilikuwa imefika hukuView attachment 1312759View attachment 1312760

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwaiyo sahv ndoa yako inaendeleaje,,na wewe umeshaacha kuvuta sigara?
 
Back
Top Bottom