Kuna tofauti kubwa kati ya mwanaume kuwa baba wa mtoto wako na mwanaume kuwa mwanaume uliyezaa naye.
Kuzaa na mwanaume fulani haimaanishi kuwa yeye ni baba kwa mtoto huyo.
Kuna wanaume hawajui...
Salaam,
Mwanamke mwenye kaelimu na kaajira afu ni 30 years plus hajaolewa na ni single mama aise aise kosea watu wote ila sio huyu kiumbe. Hususani kama wewe ni mwanaume uliyeoa aise hata umkosee...
Rasmi sasa tumeaunza mwaka wa 2020, Tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia siha njema na nafasi ya pekee ya kuuona mwaka. Kama ilivyo ada, Utaendelea kuwa nasi ndani ya Makala adhimu za malezi...
Habari wana jukwaaa
#member mpya
Kuna tabia ya mabinti niliotokanao kimapenzi Nyakati za nyuma kidogo hisusani wanafunzi tuliosoma nao.
Takribani miaka 10 nasota chuo kutafuta shahada ya uuguzi...
Wanajamii nisaidieni hii tabia ya baadhi ya mademu kuomba taa izimwe kabla ya Show wanahofia nini? W
engine ukitext unakuta inakaba vizuri nyingine zinalegea na kuburuza hadi kwenye magoti...
1. The only thing he wants from you is sex, After Cumming he will be gone. He will only sweet talk you again when he needs some sex.
2. He can spend a day with you touring beautiful places but at...
Salamu sana,
Poleni na majukumu ya kujenga taifa.
Kwanza kabisa napenda kumshukuru sana Mungu Kwa ajili ya binti yangu ambaye amehitimu chuo. Alisoma shahada yake Chuo Cha Usafirishaji Ubungo...
Jaman kuna mdada hapa mim sijui hata nitumie njia gan kumpata nampenda serious na nimesha mpa maneno na mistar ya kila namna lakin ni mgumu ile mbaya yani.
Sio kwamba mim na sura mbaya amna ni...
QUID PRO QUO
NIPE NIKUPE
HASA MWEZI HUU
Nimekuwa na tahadhari sana kujibu meseji za Wanawake ambao wanaanza kukutafuta wenyewe kwenye simu, kwa Emoji nyingi za Vicheko huku Wakituma picha zao -...
Ndugu zangu niwape tu ushauri kutokana na kile kuklichoniitesa kwa muda mrefu sana,
Mimi nilikua ni mzee wa kuchimba chimba sana yani nikiwa na mpenzi namfatilia kila kitu
Hata akitoka nafatilia...
Kwenu ma komred wenzangu,
Amini usiamini lakini ndio ukweli ulivyo, mwanaume mapenzi kwake ni miongoni mwa basic needs.
Changamoto ipo pale ambapo ni namna gani ataweza kupata mwanamke mzuri ni...
Yaan usiku wa Jana kuamkia leo in my bed nilimuota mdada fulani ambae ni jirani yangu hv kimtindo hapa mtaani..
Ni binti mzuri Ila actual sijawahi kuwa na mazoea nae hata jina lake silifahamu, of...
Habari zenu jamani,
Kuna dogo hapa kaniletea habari nzito kwangu. Anasema kakutana na mwanamke siku ile ya mwaka mpya leo tarehe 6 huyo mwanamke anasema hajiskii vizuri anahisi ana mimba.
Je...
Salaams!
Naomba uzi huu niuweke kwa mtindo wa posts nyingi nyingi maana najua itachkuwa muda kuumaliza na sitoweza kutype all the story at once.
Hakika hayakuwa maamuzi rahisi mimi kuamua...
Kufulia kunauma jamani, hadhi yako inashuka unaweza kuanza kudharauliwa ama hata kutengwa na wale mliojuana ila wamekupiga gepu refu.
Binafsi naweza kusema kwa mwanaume kufulia ni kitendo cha...
Wapendwa katika Bwana, poleni na majukumu
Yangu ni machache kwa leo. Huenda nikipata kibali mbele za bwana siku za mbeleni nikaja kuandika zaidi ila kwa leo nawasihi:
Mnapoona mapenzi yamefika...
Zile nyeti bandia za kiume zimepata soko kubwa sana jijini Dar es salaam katika siku za hivi karibuni na hata kutishia ustawi wa biashara nyingine nyingi, mahitaji ya nyeti hizo yamekuwa makubwa...
Heri ya mwaka mpya ndugu zanguni? Mimi nlikuwa Hotel flan nmepumzika huko chini ya bahari na familia yangu maana mwaka huu mzee alisema tutaingia tukiwa chini ya maji.so toka tarehe 30/12/19 mpaka...
Dada mmoja alinipigia simu, kabla hata sijamuuliza sababu alianza kunielezea matatizo ya mume wake, alinielezea mambo mengi mabaya ambayo mume wake alikua akimfanyia, nilimsikiliza sana lakini kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.