Mchana nimegombana na mke wangu mpaka sasa hajarudi na sijui yuko wapi, nikimpigia simu hapokei, je nimtafute au nimuache atarudi mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha huna akili! Umemuweza aiseeee! Dah![]()
Kwa nilichoambiwa na mke wangu; Nimechanganyikiwa naomba ushauri
Mke wangu ameniambia kuwa kuanzia leo nikichepuka nitakachokipata nisimlaumu sasa hapa sielewi nifanyaje ukizingatia kuwa nini mchepuko wangu ambaye kwakweli kumuacha ni ngumu. Je ananitisha au ni kweli naombeni uzoefu wenu katika hiliwww.jamiiforums.com
Alisha kuelezea. Atakuwa kaenda kwa mchizi mwingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣 🤣 🤣 🤣 😂 😂 😂 😂![]()

Leo mabaharia wa kula kimasihara wamejipatia chakula ..