wana jamii forum karibu tupeane mawazo,
Katika mahusiano wakati yanaanza huwa yanaanza vizuri. Maana yake watu wanaanza kwa furaha sana huku wakipeana siri za maisha, historia za maisha lakini tatizo linakuja mwisho wake
Mapenzi mengi huwa mbaya sana yani inafika hatua watu wanatukanana mpaka matusi ya nguoni na kujengeana chuki kubwa sana na kufikia hatua ya kila upande kutafuta visasi hivi katika maisha ya kawaida
Kwa nini walio wengi mapenzi yanaisha kwa hitimisho baya je haiwezekani mkamaliza mapenzi kama mlivyoanza?