Storytime: Usiuamini ushungi

Citizen B

JF-Expert Member
May 13, 2019
6,677
9,034
Happy new year good civilians!

Let me take you back in time kipindi bado niko Form Four mitaa ya Mwanza halafu nikusafirishe mpaka leo.

Kukutana

Nlipokuwa form four nilitongoza binti wa mtaani nlipokuwa nakaa alikuwa ustadhat, ilikuwa hivi: nlikuwa nje nyumbani nafyeka akapita kavaa uniform zinafanana na za shule nliyokuwa nasomea so ikawa gear ya kumuingilia, nilipiga naye story mbili tatu za kishule shule nikamuomba na namba, akaandika za kwangu kwenye karatasi akasema atatumia simu ya mama yake kunitafuta (alikuwa kidato cha tatu).

Kweli akanitafuta tukawa tunachat nikamtongoza kwenye simu akakanikataa, akasema hataki kwanza mapenzi bado mdogo.

Basi mimi nikaendelea kukomaa nakumbuka nlikuwa doja sana wa kwenda shule na ilikuwa hata nikienda naenda saa4 mara nyingi nlikuwa naamka sa3 asubuhi lakini baada ya kumpata huyu ustadhat nikawa najidamka saa11 kwasababu saa11:30 ndiyo mida alikuwa anapita kwenda shule,nlikuwa naamka najiandaa naanza kuangaza Barabarani mtoto apite,akipita tu naenda naye mpaka stendi kuchukua usafiri namlipia na nauli asikae single (Bunsen burner) za wanafunzi.

Kukubaliwa

Iliendelea hivo mpaka namaliza form four nikimtongoza ananikataa,nilipomaliza form four nikafaulu ndipo akanikubali tena kwa kuniandikia barua, nilifurahi sana nikaanza kumlia target kumvuta ghetto.

Tabia zake

Shida ikaanza mtoto ni Ajat kwahiyo mambo mengi alikuwa hafanyi(pamoja na hulka yake binafsi) alikuwa hawezi kwenda beach, bar, restaurant, kuonekana mtaani anatembea na mwanaume halafu pia alikuwa mshika dini sana yaani sigda hadi mikononi na miguuni, wasanii kama barnaba, Ben Pol na Rich Mavoko alikuwa hawajui pamoja na umaarufu wao yeye alimjua diamond tu tena hata nyimbo zake alikuwa hazijui, alipopata simu aliweka qaswida tu na dunia alikuwa hajui inaendaje, yaani ana smart lakini hajaweka WhatsApp, Instagram au Facebook. Alikuwa hapendi sana starehe na hata hela alikuwa hapendi kitu ambacho kilinifanya nimuone wife material.

Trial

Baada ya kunikubali nilipata chance kama tatu kumuingiza ghetto lakini anakataa kusex akiniambia yeye ni bikra na anasubiria mume amzawadie bikra, nilitumia mbinu zote wapi! Sikutaka kumbaka hivo sikufanya lolote
mpaka naenda advance bado alikuwa ananizingua tu ila mimi nilijipa moyo kuwa nikomae kwa kuwa ni Ajat halafu bikra halafu sio mhuni kwahyo ni wife kabisa huyu.

Kuzinguana

Basi bwana hadi namaliza advance mambo yakawa yaleyale ,tulizinguana sana hapo katikati kuhusu kutonipa mzigo ila nikajisemea siwezi acha sasa I'm too deep nitajilaumu gharama zangu ila nikaapa lazima nije nimgonge tu hata baada ya miaka 30.

Kurudiana/kuzinguana tena

Ili kuendelea naye ikabidi nimdanganye nitamuoa kwa hasira ili awahi kumtunukia mume wake mtarajiwa bikra,nakumbuka hadi naingia Mwaka wa kwanza chuo yeye anaingia form 6 nlikuwa nataka kumtumia pesa za matumizi lakini anakataa kata kata, tena anasema nikimtumia tunaachana, yaani ni hivi hata hela hapendi.

Tulikuwa tunazinguana sana kuna kipindi akaniambia kama siwezi kuvumilia basi niendelee na wanawake wengine lakini yeye awepo kwaajili ya ndoa, niliposisitiza sana akaniblock na kuanza kunikwepa.

Kusex

Nilipofika Mwaka wa pili yeye akiwa Mwaka wa kwanza tukasameheana nikafanikiwa kumshauri aje chuoni kwangu kunitembelea, alikubali na kuja. kipindi hicho nlikuwa nimepanga nje ya chuo.

Alipofika tukakumbushia maugomvi yetu akaniambia ukweli kuwa alikuwa sometimes ananiogopa nikimuuliza kwanini hajibu, basi tuliposex mimi nikitegemea kukuta bikra lakini Holaaaaa!!! iliniuma sana baadaye nlipokuja kumuuliza akaanza kulia na kuniambia alitolewa alipokuwa form4 kwa bahati mbaya kwa kulubuniwa pale mtaani ila aliogopa kuniambia akihisi nitamuacha.

Kwahiyo zile chance namuingiza ghetto alikuwa haninyimi kisa alikuwa bikra lakini alininyima kwasababu aliogopa ningekuta sio bikra na ameshanidanganya yeye ni bikra, lakini akaapa kwamba tokea kipindi hiko hajawahi tena kusex na mimi ni mtu wa pili(nikamuamini). Mimi nikasamehe nikawa nakamua shoo ni hatari yaani kwa siku tunasex hata mara tano.

Nilichogundua

Alikaa siku tatu ghetto, siku ya tatu ile amelala nikachukua simu yake nikaanza kuipitia, nilitamani kulia nilipogundua kumbe ana wapenzi kama watano na wengine conversation zao inaonesha walisha anya mapenzi muda si mrefu, wengine yeye mwenyewe alikuwa anawabembeleza kwa voice note "kwanini X umeniacha na nimemiss kufanya mapenzi na wewe" na picha wanatumiana WhatsApp.

Daah kile kitu kiliniuma kuliko kudanganywa ubikra. Kesho yake anaamka (ilikuwa siku ya kuondoka) mashine ikagoma kusimama, kila tukigusana kichwani inakuja picha namuwaza jamaa yake aliemuacha na kumlilia. Nikazuga sijisikii vizuri naumwa sikumfanya kitu.

Aliporudi chuoni kwao sikumtafuta nikamblock kabisa nikamsave "Chombo cha Starehe" nlipo maliza mwaka wa pili ile likizo tukakutana tena mtaani, nikamvuta ghetto nikapiga kwa hasira nikaacha tena kumtafuta mpaka leo.

My take:
Never trust a bitch hata kama ni sista, ustadhat, mtoto wa mchungaji etc. Hata akuektie vipi, all women are bitches to somebody and queens to another. Halafu 99% of women ni malaya in nature so treat them as such.

Ukienda na gia ya Ndoa atakuektia katuliaa sana, ukienda na gia ya bia unamkula kimasihara.

Narudia tena 99% of women ni Malaya hiyo 1% ni ya mama ako na dada zako.
 
Kuna siku, ulikuwa mwaka 2009, nilimpigia simu mtu kumbe nika - wrong number, akapokea mrembo flani hivi, akaniuliza wewe ni nani. Kwa kuwa nia yangu ilikuwa njema wala sikuficha jina langu. Akaniuliza una shida gani, nikamwambia sikuwa nampigia yeye ila nime wrong number.

Nikamuuliza anaitwa nani, akataja jina ila ni la kiislamu. Nikamuuliza yuko wapi, akasema yupo Butimba Mwanza. Mi nilikuwa Musoma hicho kipindi. Nikamuuliza kama ameolewa akasema hana mme. Nikamkaribisha aje Musoma. Akabwabwaja kidogo mara akasema nimtumie nauri, kesho yake nikamtumia. Akaja, ile kumwona hivi...amejifunika ushungi baraa, nikawaza sana. Ila nimrembo kweli kweli. Tukaenda rest room, alipoanza kusaula minguo yake, nikabaki kuangalia tu, Mpaka alipokuja kumaliza kuvua yote, kukawa na lundo la nguo.

Basi, kesho yake alirudi, alikuwa mrembo haswa, ila sikuinjoy lolote. Hajui kufanya starehe kwa kweli. From that day, sikumtafta licha ya yeye kuendelea kunipigia simu sikuwahi kuipokea.
 
citiezb, Hakuna kosa kama kujionyesha kwa demu kuwa unamchukulia kuwa yeye ni bikra akigundua tu kuwa una imani kuwa yeye ni bikra hakupi mzigo kamwe[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom