Unakuta kademu kako very selective kwa wanaume eti "Nyikitaka kuonyewa mwanyaume nyazima awe na umbo presantable" ooooh mara sitaki kabisa mwenye kitambi mimi, Nataka mwanaume mwenye kifua chake""...
Maisha ya sasa ukiyatazama kichwa kinakuuma, ukifikiria tulikotoka na tunakoelekea hasa kwenye swala la Mahusiano na ndoa. Kupata mtu sahihi imekuwa ni tabu kama kuchimba almasi.
1. Tuna aina ya...
Unahisi kukata tamaa au unajiona hauna thamani? labda umeumizwa na mapenzi, pengine maisha magumu na mipango yako haisogei mbele kama ni hivyo....!
fanya hili zoezi dogo sana kwa dakika 15
fumba...
Hata awe Malaya alikuwa anafanyiwa Nini hapa utamtuliza ila Jambo la Kwanza jitahidi ufanye mazoezi ya viungo kwa mda wa saa moja Kila siku usile ovyo hovyo na kuwa na manyama huzembe
Hii style...
Katika mchakato wa Maisha kuna mengi tunapitia, kuna kupanda na kushuka pia kuteleza na kuanguka. Kila kitu tunacho pitia ni Mungu ndiye amepanga kutupitisha huko hivyo hata kama ni magumu kiasi...
Dear Singles,
Please ponder on these things:
1. Being single is the highest calling in the realm of relationships because a successful marriage is the product of two people who are successfully...
Nipo chuo mwaka wa kwanza kwa sasa. Mwanzoni niliamua nisjihushe na kizazi hiki cha Hawa coz nliamua tu ni-deal na masomo ila sasa nmeamua kutengua msimamo wangu kwasababu mzee anasumbua kwa...
Heshima kwenu wakuu
Nisiwachoshe sana ila mimi nimeshindwa kuvumilia baada ya kutokuwa na serious relationship kwa muda kama mwaka mmoja hatimaye Mungu kanipa mwanaume wa ndoto zangu.
Yes wa...
Watoto na watu wazima hukabiliana na hali ya kuondokewa na wapendwa wao kwa njia tofauti. Mapokeo ya mtoto hutegemea umri, kiasi gani anaelewa na kiasi gani watu wa karibu nae wanajali.
Watoto...
Naanza na wewe Rikiboy,najua ulikula tunda kimasihara kwa beki tatu wangu na umenogewa nakuambia mtaachana tu,nakuambia Rikiboy mtaachana tu.
Joanah na mimi,tutaachana tu maana upo bize sana...
_*Zamani Nyumba Zetu Zilikua Vyumba Kidogo na Sehemu ya Kukaa tu, Tunakutana Ndugu, Jamaa na Majirani*_.
_*Lakini Leo Nyumba Zetu Kubwa na Zina Vyumba vingi, isipokuwa Hazina Watu ila Ardhi na...
Nikiwa form 5 kulekea form 6 mwaka 2013 katika shule moja hivi, ndipo nilianza mahusiano na binti ambaye hakika sikuwahi kukutana naye wala kumfahamu ilikuwaje mpaka tukaanza mahusiano...
I'm writing this with tears in my eyes yet again. This always happens to me. I meet a guy, I fall in love, we are together for a while, I feel like maybe this is my final destination. That I wont...
Wakuu Habari zenu kuna jamaa yangu mtu wa visiwani muajiriwa sekta binafsi sasa kutokana na umri kusogea akaws anahitaji wife ikabidi akaoe kwao visiwani zenji akajipatia mke bikra wakaa kwenye...
Naomba nichukue fursa hii kuwapongeza Waislam kwa mambo makuu mawili.
1. MAZISHI
Kwa utaratibu wa waislam mtu anapo ala mauti hapitishi siku mbili anazikwa. Kwa utaratibu huu huwaondolea wafiwa...
Wakuu pole na majukumu
Miezi miwili imepita tangu nilete uzi humu juu ya dada wa Kituruki tunayefanya nae kazi katika kampuni moja inayejenga reli ya SGR.
Rejea >> Ushauri: Binti wa Kituruki...
Nimeoa muda mrefu sana na nilikua nampenda sana mke wangu, watoto wangu nilikua simfutilii hata simu yake sishiki.
Kuna siku nilikua najisikia vibaya nikawa sijaenda kibaruani yeye akaenda...
Kama mpenzi au mke wako anatatizo la kushika mimba hakikisha unafanya yafutalo
1. Mwanaume (Mume) anapaswa kumuanda mwenza wake kufanya tendo la ndoa (hakikisha unamuanda mpaka anafika kileleni)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.