Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakati nikiwa nimelala pale kitandani nilisikia mlango ukigongwa na sauti iliskika ikiwa inaita kwa chini "huku akiniita jina langu....nifungulie mimi Hamida" nilitoka pale kitandani mbio kuelekea...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Urafiki ni kazi sana, yupo mshikaji wangu mmoja anazunguka kwa marafiki ananitangazia eti natembea na mkewe. Kisa ni kwamba siku moja nilipita nyumbani kwake sikumkuta nikamkuta mkewe...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Hili swala la kuchepuka sisi tunalichukulia tofauti sana na wanawake. Nikigundua mwanamke wangu anachepuka ugomvi wake sio wa kitoto na uhusiano unafia hapo hapo. Mwanamke anaweza gundua...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Wife ni mtoto pekee kwa mama yake.mama yake ni kijana hivi wa 40+ na alizaa mapema so hajapishana sana na mwanaye. Issue ni kuwa mama mke ana uzungu uzungu mwingi.hupenda niita my dear son...my...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Nahitaji mwanamke ambae anajielewa wa kuanza nae urafiki hadi kuwa wachumba. Na siku za mbele tuweze kuwa wanandoa Sifa zangu Ni muislamu Umri wangu 30 Ninaishi single Sina mtoto Sifa za...
0 Reactions
0 Replies
948 Views
Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana, Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu, Umekuwa ni utaratibu wangu wa mda mrefu kidogo kila nikimaliza kufanya mapenzi na mwanamke huwa siogi kabisa...
6 Reactions
228 Replies
24K Views
Wiki iliyopita nilialikwa kwenye harusi ya rafiki yangu. Ameolelwa na mzungu na ilibidi Sheikh aitwe mzungu amkane Yesu kwanza. Tulipika pilau chai ya viungo, maandazi, vitumbua visheti. Bwana...
7 Reactions
34 Replies
3K Views
Nakumbuka kipindi hicho nilikuwa nasoma sekondari fulani hivi jijini Dar es salaam. Nilitokea kumuelewa binti fulani hivi wa kichaga. Asikuambie mtu huyu binti nilimpenda kuzidi navyojipenda...
13 Reactions
47 Replies
9K Views
Habari Ni kijana wa miaka 27 Kutokana na matatizo Yangu(kiafya)sitoweza kuzalisha kwa njia ya kawaida. Ukiacha tatizo hilo,Niko mzima wa afya na mchapa kazi. Nimejiajiri Ni msomi,mstaarabu na...
1 Reactions
0 Replies
756 Views
Wakuu, Nliamua kufanya uchunguzi, tena wa kina kwa kipindi cha mvua na jua. Nikagundua wanawake wenye matege watamu sana wengi wao hawajijui kama ni watamu. Uke wao unatoa ushirikiano...
3 Reactions
27 Replies
7K Views
Leo baada ya kumaliza mlo wa mchana nikawa nimekaa napunga upepo kabda ya kurudi tena kuendelea na shughuli za ujenzi wa taifa hili changa. Akapita mwanamke mmoja aliyefanana sana na mmoja ya...
14 Reactions
601 Replies
65K Views
Kuna kabinti humu juzi kalihongwa gari(Mahindra) na buda moja inayofanya kazi NIDA basi kanajikuta kameyapatia maisha balaa. Post zake toka juzi zimekuwa za dharau sana. Jana kalimjibu mbovu...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Video hapa ikimwonyesha kijana akilia kwa uchungu baada ya KUACHWA na mpenzi wake Hamida. Sijajua hasa ni wapi, kijana anahitaji msaada wa haraka huyu kashapata kichaa cha mapenzi mshikaji...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Hapo zamani nilikuwa na mchumba ambae hadi kuachana kwetu tayari alikuwa na mimba changa. Nlijua ila baada ya kuvurugwa kwa kutengana kule nilimkatalia kwa kumwambia sina mwanamke mwenye mimba...
0 Reactions
32 Replies
6K Views
Mwana mahusiano Pitia haya machache yatakusaidia sana ✍Ni makosa makubwa kumdharau Mume/Mke wako kisa umeona huko nje kuna mtu bora kuliko uliyenaye ndani, ni makosa makubwa sana mbele za Mungu...
5 Reactions
12 Replies
3K Views
Mambo ya kupiga magoti kwa wakwe yashapitwa na wakati. Wanawake siku hizi wamesoma na wana mishahara yao. Wanaume muanze kujipanga
11 Reactions
304 Replies
23K Views
Wakuu sijui nakwama wapi toka nikue na kuwajua wanawake haijawahi kutokea nikala tunda kimasihara . Pisi zote nilizokula ni planned na nahaso hasa kupata sijui nakwama wapi. Nikisoma ule uzi wa...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Ukiona mpenzi wako anakuwekea vikwazo kwenye mawasiliano ujue hakupendi,mfano unaambiwa usinipigie Simu usiku ,au usinitumie sms ,brother kimbia kabisa Huyo hakupendi Sent using Jamii Forums...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari za asubuhi wakuu. Ni kitambo kidogo nilikuwa off kwa sababu flani flani. Aisee kuowa ni kazi sana hii process! ♡ilibaki kidogo tu ninase kwenye mtego yaani hiviiii....kiduchu. Nimefall...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakuu somo hapo lahusika. Nilifunga ndoa miaka ya 2000 na kwamba couple yangu ina muongo mmoja sasa. Ni kawaida watu kuwa kuwa na malengo, utaratibu wa maisha na wakati mwingine malengo...
3 Reactions
79 Replies
8K Views
Back
Top Bottom