Miaka 7 katika mahusiano....

Miaka 7 katika mahusiano....

thomas_360

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2015
Posts
1,456
Reaction score
1,436
Nikiwa form 5 kulekea form 6 mwaka 2013 katika shule moja hivi, ndipo nilianza mahusiano na binti ambaye hakika sikuwahi kukutana naye wala kumfahamu ilikuwaje mpaka tukaanza mahusiano fuatilia.....

Ilikuwa shule ya serikali ya bweni na ilikuwa ni kosa kubwa kukutwa unatumia simu lakini wabishi tulikuwa tunapenya nazo maana shule haikuwa na fence...Nilifanikiwa kujenga urafiki na jamaa mmoja ambaye naye alikuwa anatokea mkoa ( DAR ES SALAAM) ambao nilikuwa natokea, so tulikuwa tunasaidiana sana hasa pale unakuta pocket money kama mmoja wetu inakuwa imekata basi tunakuwa tunapushiana mpaka anatumiwa then anakuwa anarudisha pesa alizoazima.....

Nakumbuka siku hiyo simu yake nilikuwa nimeshika na yeye alitoka nje , ghafla kukawa na mtu anapiga simu ikabidi nipokee, alikuwa mtoto wa kike lakini cha ajabu alihisi anaongea na huyo rafiki yangu lakini nilijaribu kujitambulisha lakini akahisi kama namtania, madai yake ni kuwa sauti zetu zilikuwa zinafanana....

Basi tukawa tunazungumza Mara jamaa akatokea na wakati huo tayar mtoto nilikuwa nimeshavutiwa kwanza na Sauti yake , nikacopy number yake pembeni ili kuja kumtafuta, basi jamaa yangu alivyopokea simu akaanza kumwambia huyo ni nani mpaka mnafanana sauti jamaa akamwambia kuwa ni rafiki yangu nimekutana naye hapa shuleni.......

huyo jamaa yangu na huyo msichana walisoma shule moja ya O level, ingawa hawakuwa katika mahusiano ya kimapenzi....

basi Kesho yake nikamtafuta kwa kutumia simu yangu, tukapiga sana story akanitumia picha yake maana nilikuwa na smartphone moja hivi ya huawei, hakika mtoto alikuwa mzuri nikasema hapa hakuna kuvuta subira , basi mwanaume nikaanza kushusha mistar akanizungusha zungusha lakini mwisho wa siku akanielewa.....

Baadaye nikakaa na jamaa yangu nikamueleza na akawa hana neno maana yeye mwenyewe alikuwa na demu wake....

wakati nimeingia form 6 ndo yeye alikuwa anaenda kuanza form 5 shule moja hivi Ipo pande za moshi, hivyo sikuweza kukutana naye, kwa wakat huo.

mwaka 2014 baada ya kumaliza form 6, alipata nafas ya kuja Dar kulikuwa na likizo fupi hivyo ndo muda ambao niliweza kukutana naye kwa Mara ya kwanza na wala sikula papuchi kwa wakati huo.... tukapiga sana story tukaachana maana alikuwa anarudi shuleni!!

Mwaka 2015 wakati nipo chuo mwaka wa kwanza nikiwa nilikizo ndo niliweza kukutana naye tena na nikala papuchi kwa Mara ya kwanza nakumbukua siku hyo show ilipigwa kama dk 45 yaani, mpaka mtoto alipagawa maana kama kukojoleshwa alikojoleshwa mpaka akafurahi mwenyewe.....

mwaka 2016 nilishindwa kukutana kabisa kutokana na ratiba zake kwa chuo nilichokuwa nasoma na yeye alipokuwa anasoma vilikuwa mbali, so kuna wakati tulikuwa tunagombana maana mnajua tena mahusiano ya mbali yalivyonachangamoto, ilipelekea mpaka tukajatukaachana,,ilipita kama miezi 7 ndo nikaja kumtafuta tena , kwakweli ni binti ambaye nilimpenda Ila tu tatizo LA umbali na ratiba ya masomo ilikuwa changamoto, alinielewa na tukarudiana tena.

mwaka 2017 tukiwa wote likizo Dar tukakutana tena kwa Mara nyingine nikala papuchi, na maisha ya kaendelea....ingawa marumbano hayaishi na kuchitiana kulikuwepo hivyo tuliishia kuvumiliana....maana inafika mahali tukishatibuana unakuta kila MTU na mpenzi mpya....ikitokea mmoja kamuacha mchepuko wake mahusiano yanarudi tena .....

Mwaka 2018 ni mwaka ambao tulitibuana karibu mwka mzima tukawa hatuna mawasiliano mazuri , mwkaa 2019 tukarudiana tena ingawa mwenzangu alikuwa bado hayupo tayar kwa 100% yaani bado alikuwa ana MTU ingawa najua moyoni mwake ananipenda mm, basi ikabidi nimuache lakini alikuja kunitafuta na nikala tunda tena nakumbuka nilienda Dar Mara moja nikitokea mkoa Fulani kikazi maana tayar nilipata kazi mkoa mwingine tofauti na Dar....

Mwishoni mwa mwaka 2019 tukatibuana tena Ila mwanzoni mwa 2020 tukarudiana tena mpaka dakika hii tupo pamoja.....

Huwa najiuza kwanini huyu mwanamke hata kama tutibuane vipi lakini hawez kunichukia wala kunisahau hivyo hivyo na mm huwa kwake ndo nimefika yaani nimepanga huu mwaka naenda kwao kujitambulisha ili nivute jiko mapema ndani wajanja wasije wakachukua tunda langu tena.....



don't waste your time on lecturing me, this is 2020
 
Huwezi kununua mapenzi maana yakiwa ni mapenzi ya ukweli utayapata bure..Hongeraa sana, kama kweli unania vuta jiko tu kijana maana kupata mtu unayeona anakupenda vile unavyohitaji ni nadra sana kwa maisha ya sasa..Fanya kilicho sahihi kama unaona inafaa.
 
Kaushauri kadogo tu mkuu, tumieni raba. Hii unayojivunia eti tunaachana anaenda kwa mwingine kisha tunarudiana,mara ya kwanza, mara ya pili, mara ya tatu sio sifa hii mkuu! Ile kitu ipo kabisa mkuu na inaua! Na kumbuka ile mambo haikuumbiwa watu spesho, yoyote inaweza kumuingia. Ni hayo tu mkuu.
 
Mimi kama mimi ushaur wangu USIMUOE sio kwamba hafai ila possibilty ya nyie kuja kuachana ni kubwa mnoo maana mtayaendeleza mazoea yenu ya kuchepuka hata mkiwa tyar mko kweny ndoa

Hii itakuja kuwa shida kwa ambaye ataweka userious kweny ndoa .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkizinguana anaenda analiwa mnarudiana?

Wait, what? Mm ndio nimeanza kuzeeka au
wkati yy analiwa na mm nakula mwingine so ngoma draw

don't waste your time on lecturing me, this is 2020
 
kabla ya yeyote huwa tunapima mzee na ninachomuamini ni kuwa sio mtu wakukurupuka tu na kuanza kusex na MTU vipimo kwanza then mambo mengine yanafuata
Kaushauri kadogo tu mkuu, tumieni raba. Hii unayojivunia eti tunaachana anaenda kwa mwingine kisha tunarudiana,mara ya kwanza, mara ya pili, mara ya tatu sio sifa hii mkuu! Ile kitu ipo kabisa mkuu na inaua! Na kumbuka ile mambo haikuumbiwa watu spesho, yoyote inaweza kumuingia. Ni hayo tu mkuu.

don't waste your time on lecturing me, this is 2020
 
Mimi kama mimi ushaur wangu USIMUOE sio kwamba hafai ila possibilty ya nyie kuja kuachana ni kubwa mnoo maana mtayaendeleza mazoea yenu ya kuchepuka hata mkiwa tyar mko kweny ndoa

Hii itakuja kuwa shida kwa ambaye ataweka userious kweny ndoa .

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu kuchepuka sio dhambi Cha msingi mkishakuwa kwenye ndoa hayo mambo yafanyike kwa siri mwenza wako asijue

don't waste your time on lecturing me, this is 2020
 
Back
Top Bottom