Sifa za mwanamke asiyefaa na anayefaa kuoa

Na haya ndio mawazo ya kipumbavu, mnakopi tu.
Vitu vingine humo mnalazimishia
 
Mwananmke wa namna hiyo , labda umtengeneze
kwa mfumo wa automatic robot ...ila kwa binadamu
wenye damu inayozunguka , utabaki tu kuota day dream zako.
 
Labda ungewaambia wenye wake type hio wafanyeje sasa maanake ndio wameshaoa.
 
nimeamini mwanamke ni kiumbe anaye wanyima wanaume wengi usingizi!!!!!

Hahahahahhahahahah, sweet, sio kutunyina usingizi, bali hapa kutupatia akili ya maisha na kujua kuishi na watu wanaotufaaa, sio kila mrembo ni mwema, au anafaa kuolewa, wengi hawajui kuwa na mwanaume yahitaji, akili, busara na maono akiwa kama mpenz, mchumba na hata mke, wengi husahau hapa! Ni hayo tu.
 
Last edited by a moderator:
Kama atakuwa mama wa nyumbani sawa kabisa. Hujakosea.
Ila kama ni mchakarikaji utasubiri sana braza.
 
Mkuu Mlafu, nimeisoma post yako vizuri ila sifa nyingi ulizozitaja hapo ni za mwanamke ambaye tayari amekwisha olewa na sio mwanamke ambaye bado hajaolewa.

Sifa ambazo nilitegemea kuziona hapa ni za mwanamke ambaye hajaolewa au mwanamke ambaye yupo mahusiano na anatarajia kuolewa. Kwa hiyo sifa ulizozitaja hapo haziwezi kumsaidia mwanaume anayetarajia kuoa kuweza kumtambua mwanamke anayefaa kuolewa au asiyefaa kuolewa.
 
yaani umetext point ungekuwa karibu ningekupa zawadi

hivi kile kitufe cha like wamepeleka wapi hawa mamods wana roho papo
Mwananmke wa namna hiyo , labda umtengeneze
kwa mfumo wa automatic robot ...ila kwa binadamu
wenye damu inayozunguka , utabaki tu kuota day dream zako.
 
Labda wa wanawake wa pwani ndo wanayaweza hayo,lakini yale ya kule kwetu machame au mwika hayana huo muda.
 
hiyo ni kipindi cha babu zetu, saivi nikunyenyekee ivyo labda kama mimi darasa la saba na wewe una masterz
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom