Mtaachana tu, nawaambieni mtaachana tu

Mtaachana tu, nawaambieni mtaachana tu

hmkuwe

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2013
Posts
363
Reaction score
274
Naanza na wewe Rikiboy,najua ulikula tunda kimasihara kwa beki tatu wangu na umenogewa nakuambia mtaachana tu,nakuambia Rikiboy mtaachana tu.

Joanah na mimi,tutaachana tu maana upo bize sana kutengeneza kucha na miguu kuliko kitu chochote, tutaachana tu,na umekuwa na tabia ya ubinafsi unataka ufikishwe stand,ila mm nifike stand peke yangu,Joanah hapana tutachana tu

Demi na Equation x si mnajifanya mnapenda kula pamoja,kutembea pamoja na mkiona watu mnashikana mikono,nawaambia mtaachana tu yaani mtaachana tu.

Faiza Foxy na Mshana jr, mtaachana tu kwa maana uchawi wa mshana jr unaelekea kuishiwa nguvu na hana uwezo wa ku update tena kwahiyo mtaachana tu.

Sweet 16 na Kidukulile,najua mliukaribisha mwaka mpya kwa mbwembwe sana, mwenyewe Kidukulile asema mlikuwa pande za visiwa vya alabama mkiponda maisha ila mi nakuambia mtaachana tu,najua amekupa ahadi ya kukunulia Benz new model ila mtaachana tu.

Hawachi na GuDume yaani nyie ndio kabisaaaaa mtaachana tu, GuDume huwa hapendi mtu ambaye hajitumi nawaambia mtaachana tu

Miss madeko na Bujibuji, najua miss madeko anavyomdekea Bujibuji lakini mtaachana tu,Bujibuji ni mzee wa kuchakata na anapenda asbh akachate kule,mchana amchakate mwingine na jioni anatafuta mchakato wa kuuchakata hadi asbh nakumabia mtaachana tu

Mwambieni Natasha wataachana tu na mondi asimuamini hata kidogo wataachana tu

Simba na Mo Dewji wataachana tu,kwa sababu huyu boss sio mvumilivu kabisa,siri za ndani anazisema hadharani wataachana tu, mapinduzi tu amenuna akataka tumbembeleze na kweli tukambembeleza na kumpigia magoti na akakubali wataachana tu

Mamndenyi na CONTROLA mtaachana tu, controla huwa nakuaminia sana lakini hapa umeniangusha sana umeloose controool nakuambia mtaachana tu

Joka jiusi habari yako sina ila ipo
kwenye mchakato ila mtaachana tu

ZERO IQ nimekuweka kipolo.

Orodha ni ndefu unaweza kuendeleza.............
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji44][emoji44][emoji848][emoji848][emoji87][emoji87][emoji87][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom