Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu mko poa? Leo nimeona nilete hii. Wengi huenda hatujui nguvu ya "first impression " hasa hasa wenye kukutana kwa lengo la kuanzisha mahusiano. Jiweke vizuri kwenye haya maeneo. Kisaikolojia...
4 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari ya jumapili wana MMU.. Niende kwenye mada kuwa jamani kuna mrembo mmoja hapa kitaa nilikua namuelewa sana kitambo hichoo ila kwa sasa BIG NO.... Kwa sababu nilimfukuzia karibu miezi nane...
5 Reactions
92 Replies
10K Views
Wadau wenzangu wa JamiiForums, habari za maisha! Sasa wana JF nina tatizo na ninaomba msaada wenu maana nimeona kukaa nalo mwenyewe bila kupata utatuzi ni sawa na mficha magonjwa kifo humuumbua...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Yaani bora mwanamke akuache kwa kutembea na mamaake mzazi au dadaake au rafiki yake ila kama una doe(hela) yuko tayari kukusamehe kwa kisingizio eti "atajirekebisha". Tena atakurudia na mipango...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
[emoji2771]Leo naomba kuuliza Wanandoa waliopo humu, hata wale ambao bado mabaharia mnakaribishwa Sana maana nyie ndio wahanga wakubwa wa hili suala. Mwanzoni munakuwa na mapenzi makubwa kwa wenza...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari gani rafiki na wanajamvi wenzangu. Mimi ni kijana mwenye miaka 28 kwa sasa. Nilioa ila tuliachana na mke wangu mwaka jana, kwahiyo kwa sasa nipo single kabisa (sio kwa sababu za kijinga...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Mawazo yenu yamhim sana jamni wanajukwaa. Mpenzi wangu yupo mbali na mm sasa kitugani inatakiwa tukifanye ili penzi letu lizidi kunawiri? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
38 Replies
4K Views
THE DAY I REALIZED I WAS CHEATING ON MY HUSBAND We ladies love to talk We love to be interactive That's why chats are a big deal to us We love to emotionally connect I love my husband, I really...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Salaam wanajamvi, Baada ya kuwa mpenzi mtazamaji kwa muda mrefu hapa jukwaani, basi hii scenario imenifanya nivunje ukimya. Nimekuwa nikitamani sana kuchangia lakini nadhani kuandika siyo kipaji...
3 Reactions
25 Replies
4K Views
THE SECRET TO WOMAN'S HEART!!!💓💓 The best gift a man can give a woman is; his time, his attention, his love, his protection, his trust and his support. I think when a woman knows that she truly...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
HOW TO LOVE YOUR HUSBAND 1. Harden his penis, don't make his life hard 2. Praise him, don't praise other men 3. Cover his shame, don't cover up your mistakes 4. Hide in his arms, don't hide...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wanajamiiforumsf na MMU members, mwanachama mwenzetu munkari anaumwa. Anasumbuliwa na........ Bado yupo hospital anaendelea na matibabu bado hali yake sio nzuri sana Taarifa hii ni kwa mujibu...
9 Reactions
276 Replies
14K Views
HOW TO END A WRONG RELATIONSHIP IN A GODLY WAY... #For all the singles: Dear singles, making a decision over a wrong relationship or a relationship that isn't working isn't easy. It requires a...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Mwanaume ni kiumbe cha pekee sana hapa Duniani, kuliko kiumbe chochote...!! Mwanaume anaweza kumuacha mwanamke aliyemfumania kisha akaoa mwanamke aliyeachwa kwa kosa la kufumaniwa...!! Mwanaume...
24 Reactions
66 Replies
9K Views
Huyu ni mwanamke ninae ishi nae ana ujauzito wa miezi 5 nimeanza kuishi naye baada ya yeye kuwa na hiyo mimba. Amekua akinikorofisha mara nyingi sana Mimi nimekuwa mpole na nimekuwa nikipotezea...
7 Reactions
90 Replies
13K Views
JINSI YA KUEPUKA MICHUBUKO WAKATI WA TENDO LA NDOA ILI KUZUIA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI(V.V.U) Sio kila anayefanya ngono na mgonjwa wa ukimwi anapata maambukizi, kuna watu wameishi na...
9 Reactions
19 Replies
10K Views
Wakuu ndoa mbaya sana ikiwa... A) Umemtokea demu tu ambaye hukuwa na malengo naye bali kutoa genye alafu mwisho wa siku unampa mimba unaona uoe. Jamani utapata tabu sanaa labda salama yake urudi...
16 Reactions
68 Replies
7K Views
Ukiwa mtu wa kuangalia mambo kwa juu juu basi kila kitu kwako kitakuwa kigumu. Kusoma unaweza kuona ni kugumu, kufanya kazi kugumu, hata kusubiri mshahara unaweza kuona ni kugumu. Urahisi kwako...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
-Miaka 34 -Mwajiliwa wa serikali -Mzamili kielimu(Nimemaliza mwaka huu) -Mkristo -Situmii kilevi chochote Mdada/Mwanamke -Umri miaka 30-34 -Dini yoyote -Kabila lolote -Mfanyakazi/Asiye na kazi...
5 Reactions
17 Replies
3K Views
Jmn x_mass kwa kwel mm nnaona ni ya wazungu maana inaanza hadi kuisha kwa shamlashamla kama zote watu wote wanafurah pamoja na familia zao kwa pamoja ambavyo huku kwetu bongo tunafosi tu ... kwa...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom