Namna ya kumpa mimba mwanamke alieshindwa kuzaa

CONSTRUCTIVE THOUGHT

JF-Expert Member
Jul 10, 2015
1,158
417
Kama mpenzi au mke wako anatatizo la kushika mimba hakikisha unafanya yafutalo

1. Mwanaume (Mume) anapaswa kumuanda mwenza wake kufanya tendo la ndoa (hakikisha unamuanda mpaka anafika kileleni).

2. Ikiwa tayari mwanamke kahamasika ipasavyo kufanya tendo la ndoa, mwanaume usimkurupikie mwanamke, mwanaume nenda bafuni chukua sabuni yako kisha chua uume wako (piga nyeto) mpaka umalize (kimoja cha nyeto). Hii husaidia kuondoa lile bao la kwanza (bao kihelehele) ambalo huwa alina afya kwa baadhi ya wanaume. Pia, wakati huo yai la uzazi kwa mwanamke husogea kwasababu ulisha muandaa vya kutosha.

3. Baada ya hatua ya 2, mwanaume rudi kwa mwanamke kuianza safari ya kutunga mimba.
 
we jamaa ni wa tiba mbadala nini..sina uhakika kama yai la mwanamke hushuka unapomuandaa vizuri..nachofahamu yai la mwanamke hushuka hadi kwenye falopian tube kila mwezi ndani ya mzunguko wake...then wengine wakitoa hicho kibao cha kwanza kutafuta jingine ni mwezi ni mtiti mzito sasa sijui unawasaidiaje....
 
Hivi bao la kwanza na yanayofuatia ni ipi huwa inakuwa nzito kuliko.........we mwandishi hebu acha huo udaktari uchwara..........bao la kwanza ndio huwa linakuwa na manii yenye mbegu nyingi zaidi na ndio maana ni nzito hiyo ya pili si sana.........sasa wewe kuwa unakwenda mwaga bafuni kila siku halafu ya pili ndio unampa mkeo utafeli kuwa mzazi......shabashi
 
Kama mpenzi au mke wako anatatizo la kushika mimba hakikisha unafanya yafutalo

1. Mwanaume (Mume) anapaswa kumuanda mwenza wake kufanya tendo la ndoa (hakikisha unamuanda mpaka anafika kileleni).

2. Ikiwa tayari mwanamke kahamasika ipasavyo kufanya tendo la ndoa, mwanaume usimkurupikie mwanamke, mwanaume nenda bafuni chukua sabuni yako kisha chua uume wako (piga nyeto) mpaka umalize (kimoja cha nyeto). Hii husaidia kuondoa lile bao la kwanza (bao kihelehele) ambalo huwa alina afya kwa baadhi ya wanaume. Pia, wakati huo yai la uzazi kwa mwanamke husogea kwasababu ulisha muandaa vya kutosha.

3. Baada ya hatua ya 2, mwanaume rudi kwa mwanamke kuianza safari ya kutunga mimba.

Sikujua JF kuna majuha kiasi hiki!. Ndiyo maaaaaaaaaaaaaaaaana!
 
Back
Top Bottom