Unahisi kukata tamaa au unapitia wakati mgumu? Nina kitu kwa ajili yako

Sudi jr

Senior Member
Aug 4, 2017
133
178
Unahisi kukata tamaa au unajiona hauna thamani? labda umeumizwa na mapenzi, pengine maisha magumu na mipango yako haisogei mbele kama ni hivyo....!

fanya hili zoezi dogo sana kwa dakika 15
fumba macho yako tayari? sawa basi

sikiliza mapigo ya moyo wako sikiliza vizuri...
safi inaashiria bado uhai, unaishi, unaafya njema. kuna mamia ya watu ambao mioyo yao inadunda pigo la mwisho, yaani ni mfu na anapoteza kila kitu kwa wakati huo akili, mali, afya, nguvu, maono, lakini wewe una kila kitu muhimu kupata kila kitu unachoitaji.

sasa fikiria (think) empty your mind and think positively, try again and again...unaona sasa kumbe bado una utimamu wa akili. MUNGU bado anakupenda sanaa, don't let him down make GOD proud of you. inuka sasa, stand-up, wake up yes.. sema bado ninaishi, sema naenda kubadilisha hali hii, umasikini huu, sitaumia tena, sitalia tena, sitakua muoga Kamwe.

Now smile...show that bigger smile promise GOD that you will never let him down ever again, Move forward.
 
Sometimes unaweza taka kua mwema ila jamii na watu wanaokuzunguka unaona kabisa wanaku drag kuelekea kuwa mtu mbaya!
Kufanya hvo ni rahisi mkuu ila baada ya hizo dk 15 Ukimaliza ukafumbua macho unajikuta upo kwenye yale maisha halisi uliyozoea with full of terrors.
Cha msingi ni kupambana kwa damu na maji huku ukiwa na tumaini kua. Upo kwa kusudi fulani hutaondoka duniani mpaka ulitimize. Luckily Kusudi la Mungu siku zote ni jema coz anakuwazia mema
 
yes lengo ni kua shujaa katika hali yoyote tunayopitia, na changamoto zote zinazotuzunguka
 
Sometimes unaweza taka kua mwema ila jamii na watu wanaokuzunguka unaona kabisa wanaku drag kuelekea kuwa mtu mbaya!
Kufanya hvo ni rahisi mkuu ila baada ya hizo dk 15 Ukimaliza ukafumbua macho unajikuta upo kwenye yale maisha halisi uliyozoea with full of terrors.
Cha msingi ni kupambana kwa damu na maji huku ukiwa na tumaini kua. Upo kwa kusudi fulani hutaondoka duniani mpaka ulitimize. Luckily Kusudi la Mungu siku zote ni jema coz anakuwazia mema
Yani hili ni kubwa sn kwangu.Yani si kwamba nina kipato kikubwa,ama nimewazidi maisha la hasha!!lakini vile watu wananisakama ni balaa.Wamenifundisha Naanza kuwa na roho mbaya na ya kikatili sana.Ipo siku nitawahukumu vibaya mno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini mkuu Sawa kwa unayoypitia..ila kama unasikia roho yako inakuambia kua wewe unatakiwa uwe mtu mwema please fuata moyo wako. Giza huja kwa nguvu kubwa na kufunika mwanga..Mwanga hujataratibu mwisho huzidi giza.
Please usiache giza ya hao watu ifunike mwanga wako ukiyo ndani ya roho yako.
Walipe kwa matendo mema ndio utafanikiwa kuwathibiti. Unavyozidi kuvumilia ndio jinsi the Almighty anavyokuzidishia uwezo na nguvu kiroho.
Be who you are...Usiache asili yako kisa watu wakuzungukao. Japo ni ngumu
 
Sometimes unaweza taka kua mwema ila jamii na watu wanaokuzunguka unaona kabisa wanaku drag kuelekea kuwa mtu mbaya!
Kufanya hvo ni rahisi mkuu ila baada ya hizo dk 15 Ukimaliza ukafumbua macho unajikuta upo kwenye yale maisha halisi uliyozoea with full of terrors.
Cha msingi ni kupambana kwa damu na maji huku ukiwa na tumaini kua. Upo kwa kusudi fulani hutaondoka duniani mpaka ulitimize. Luckily Kusudi la Mungu siku zote ni jema coz anakuwazia mema

Trust me mkuu hili zoezi ukitaka ufanikiwe si zoezi la siku moja....

Nikiwa na kidato cha sita nilipata dalili ya kipara ikaniharibu sana kisaikolojia mbinu niliyotumia always ni hiyo apo juu aliyoisemwa mwana hapo

Nilikaa nikajiuliza kwan me ndo mtu wa kwanza kupata kipara nikiwa na umri mdogo why niogope kipara wakati kuna watu wana kansa ya ubongo wanalazimika kunyolewa mipara muda wote....

Nikaendelea kujiuliza hivi ikitokea nikaambiwa nichague kansa ya ubongo na kipara natural ntachagua nini jibu ni bora nibaki na kipara changu basi tangu siku hiyo nikaipokea hali yangu sema kujiweka kitanashati nanyoa tu namaliza frsh kwa wiki walau mara moja

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
So ni vyema ku embrace weaknesses zetu si ndio bro..
 
Back
Top Bottom