Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wadau wa JF. Mdau mwenzenu nadhani nimefikia tamati ya ujana. Niko na mwenza ambaye kiukweli, anatarajia kuwa mama watoto mwaka huu. Kwa kipindi changu chote cha mahusiano karibu miaka...
5 Reactions
45 Replies
5K Views
Habari za mwaka mpya! Nmeachana na mwanamke mwaka jana japo aliondoka kwa nguvu zake. Kinachoniuma mazingira ya kwao hayaridhishi, yani ni poor family sasa nikivuta picha alivyokuwa kwangu. Na...
3 Reactions
26 Replies
4K Views
To all women friends, young to old sisters here on JamiiForums. Before starting I would like to congraturate every one here in JamiiForums for being rewarded by God to commence the beautiful and...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Nimeona clip inasambaa kuna demu kabambiwa kwenye daladala hadi kakojolewa demu kamkunja jamaa kampa vichwa na ngumi. Si umuambie tu msela kama ana hengachifu akufute tuu. Mbona kwenye mziki ma...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Asalam Wakuu. Nipo kitandani tangu saa10 jioni, kichwa kinagonga sana ninavyojisikia sielewi namna ya kueleza lkn namuomba Mungu nipite hii njia salama. Nmevunjika moyo vipande vipande. Najihisi...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Salam Waungwana" Kama Ambavyo mnavyo tambua" Mapito Yetu Ya maisha Yamefungamana na Matukio Mengi sana Yenye kufurahisha/Na kuhuzunisha "... Hivyo Basi Kuna watu ambao Walikuwa nasi au bado wapo...
1 Reactions
73 Replies
6K Views
Katika maisha yangu nimeshuhudia watu wane wenye sauti zilizobeba mamlaka... Akisema neno hapa mirindimo yake huenda mbali sana halafu wala hatumii nguvu na wala mishipa ya shingo haimsimami wala...
41 Reactions
76 Replies
8K Views
Siku kama ya leo miaka kumi iliyopita niliandika shairi (POEM) flani hivi ambalo lilitokana na uchungu wa mapenzi. Kama walivyosema watu wa kale, "mtu akipenda si ajabu kuwa mshairi" na mimi...
10 Reactions
146 Replies
8K Views
Wapendwa Taifa la Mungu, Mafrateri hawa (pichani chini ) walitekwa na watu waliokuwa wamejihami kwa silaha walipovamia Seminari kuu ya Mchungaji Mwema (Good Shepherd Seminary) iliyopo Kaduna huko...
2 Reactions
43 Replies
4K Views
Wapendwa habarini za asubuhi! Kwa uzoefu mdogo nilioupata hapa MMU ni kwamba wanaume ndio wanaoongoza kwa kulalama juu ya wanawake mara ooh wanawake sio watu, mara wanawake na matusi na nyingine...
2 Reactions
66 Replies
6K Views
Hata utemewe mate hata akutukane wewe unaempiga mwanamke usifikirie kua utaingia mbinguni. MKE! toka mwanzo adi mwisho mke hapigwi.. Kuanzia Leo acha kumpiga mke wako na Mungu atakubariki Sent...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Duh nimekaa na kutafakari juu ya story nilizosikia na ninayoona kwenye ndoa za SIKU HIZI naona ZINANIKATISHA TAMAA KABISA KUOA..!! 1. Ya MABESTE mzee wa ""Baadae Sana" Huyu msanii alifunga ndoa...
6 Reactions
145 Replies
16K Views
Hakuna mwanaume mkorofi kwa mwanamke mnyenyekevu hata ungekua umemkosea nini ukijishusha ukanyenyekea analainika labda awe na mapepo ndio unyenyekevu wako hautagusa moyo wake. Mume hafokewi, mume...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu Saalam Tunao Enda Kuoa Tuna Kutana Sana Na Haya Mambo Jamani Naomba Kuuliza Haya Nimajibu au Shopping Ya Vitu Naje Inaulazima Gani Kuamishia Duka Ukweni Maana Hili Nalo Duka Kbs Na Mtaji...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Majuzi niliwakumbusha wanaume Wenzangu kwenye huu uzi hapa Wanaume wenzangu hakuna tuzo za kugegeda, UKIMWI upo leo naomba kuongea na wanawake kwani wao ndio chachu ya maambukizi ya magonjwa za...
8 Reactions
27 Replies
4K Views
Hizi style za mizinga zimezoeleka sana mpaka zinachosha kusikiliza. 1. Kuna msiba naomba uniongezee nauli nikazike 2. Mama anaumwa nataka nikamwone 3. Simu yangu imedumbukia kwenye maji nataka...
8 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakati nikiwa nimelala pale kitandani nilisikia mlango ukigongwa na sauti iliskika ikiwa inaita kwa chini "huku akiniita jina langu....nifungulie mimi Hamida" nilitoka pale kitandani mbio kuelekea...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Urafiki ni kazi sana, yupo mshikaji wangu mmoja anazunguka kwa marafiki ananitangazia eti natembea na mkewe. Kisa ni kwamba siku moja nilipita nyumbani kwake sikumkuta nikamkuta mkewe...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Hili swala la kuchepuka sisi tunalichukulia tofauti sana na wanawake. Nikigundua mwanamke wangu anachepuka ugomvi wake sio wa kitoto na uhusiano unafia hapo hapo. Mwanamke anaweza gundua...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Back
Top Bottom