Mwaka 2014 nilikuwa nadate na msichana wa form 2, wakati huo mimi nilikuwa mwajiriwa tayari. Na nlikuwa nimeshaoa, basi nimedate na huyu msichana kama miezi 6 tukaachana kila mtu akamove on, ila...
Wana JF,
Ninalo jambo nisilolielewa kuhusu wanaume.
Ukweli ni kwamba wengi wao wameshiriki mapenzi na msururu wa wanawake wasio na idadi. Wengine wameoa lkn hawatulii ng'o kwenye ndoa zao...
Wasalaam
Imani yangu inanifundisha kusamehe yote, najitahidi kufanya hivyo lakini hili nimepata ugumu japo kusahau siwezi
Muda kidogo umepita, tulikuwa tunacheki mpira maeneo Fulani classic...
Ushawahi kukutana na swali hili: "Hivi unanionaje; jamani muoneni huyu!! Hivi nina mkosi gani mimi?!" Baada ya kumwambia au kumuonesha mtu unampenda? Au ushawahi kuambiwa "we siyo type yangu?"...
Mwanaume mwenye upweke anakalibishwa/anae taka mke wa pili
Sifa awe mwanaume kamili
Umri 29-40
Maji ya kunde
Asiwe mfupi Wala mrefu
Anae jituma kimaendeleo na mchapa kazi
Awe na uwezo wa...
1. My name: Amiry Muzamelly.
2. Age:23.
3. Language: English,Arabic,Swahili.
4. Religion: Islam.
5. My color:Grainy black with gravity.
6. Work: Religious seeker.
7. Height:Tall Normal.
8. Child...
Majukumu yote ya ndani anayafanya hata kunyoa watoto wa kiume nywele J’mosi ni jukumu lake. Ananunua chakula, umeme, ada za shule, nguo za watoto.
Kusuka nywele zangu amesema ni jukumu langu na...
Wakuu, nipo kasi kwa maada mwaka huu 2020 na naona ni jambo jema kujuzana kumbukumbu za maisha.
Ilikuwa mwaka 12 nilikuwa na manzi mmoja, yaani namaanisha demu wangu au mpenzi wangu na ndo...
Nikiwa mdogo,tulikua tunakaa nyumba za kota,ila kwa sababu ya ukubwa wa familia zetu (extended family)...mzee alishirikiana na jirani,watoto wa kiume tukapangiwa chumba sehemu mbali kidogo na...
Za Jumapili wananzengo?
Kiujumla mimi ni mtu mwenye hasira za karibu mno hasa pale ninapogundua mtu ninaezungumza nae kanitoa akili wakati Jambo ninalozungumza nae ni la muhimu.
Huwa napatwa na...
kuna hii aina ya uhusiano wa kimapenzi iliyopewa jina la open relationshi=mapenzi yasiyokufunga kuwa na mpenzi/wapenzi wengine hata kama mpenzi wako akijua wala hamind na wewe ukimuona na demu...
Habari jf.
Kuna kesi moja hapa nimeshindwa kuisolve,jamaa angu analalamika kuwa mkewe ana tabia ya kukaribisha ndugU zake nyumbani bila kumshirikisha.
Anasema hapo kwake saiv kuna ndugu wa mke...
Binafsi nimewahi kufanya mapenzi na wanawake takribani 10 including my wife, unfortunately sijawahi kukutana na msichana bikra mpaka leo ambapo natarajia kufunga kitabu cha uzinzi
Dedication for you..
All of you ambao mnawafanya watu wanachanganyikiwa. If you wish, nenda YouTube ukaiskilize yote.
And to you the special one, this is it.
Tunapozungumzia hizi habari wengi wetu tutakimbilia kuwanyooshea vidole wanawake lakini kuna wanaume pia wana hizo tabia
Ndoa na mahusiano ni taasisi moja kubwa sana! Walioko kwenye mahusiano...
Salaam nyingi wakuu..
Moja kwa moja kwenye hoja,hatimaye baharia nimepata bikira na kuimenya mwenyewe. Hii bikira imeshafika bei na inanaielewa sana.
Sasa ni kwamba nimeoa ila kama mjuavyo na...
Iwapo wewe ni mjamzito ama unapanga kupata ujauzito basi kaa mbali na pombe. Tafiti zinaonesha kwamba matumizi ya pombe kwa mama mjamzito yana athari lukuki kwa mtoto aliye tumboni. Makala hii...
nimekutana na mtu anadai kuwa hataki kuoa mwanamke bikira anadai kuwa ni wasumbufu sana baadae katika ndoa ila anataka aliyecheza kabisa anadai si wasumbufu.....sasa je kuoa bikira ni usumbufu kweli?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.