Asalam Wakuu.
Nipo kitandani tangu saa10 jioni, kichwa kinagonga sana ninavyojisikia sielewi namna ya kueleza lkn namuomba Mungu nipite hii njia salama. Nmevunjika moyo vipande vipande.
Najihisi sina bahati ya kupendwa nimeshakata tamaa.
Hongera zako Hamidašš½