Mke hapigwi mwanaume unapata wapi ujasiri wa kumpiga mke

Mke hapigwi mwanaume unapata wapi ujasiri wa kumpiga mke

kofia ya plastiki

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2019
Posts
416
Reaction score
409
Hata utemewe mate hata akutukane wewe unaempiga mwanamke usifikirie kua utaingia mbinguni. MKE! toka mwanzo adi mwisho mke hapigwi.. Kuanzia Leo acha kumpiga mke wako na Mungu atakubariki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.....
IMG-20200119-WA0001.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna asiyepigwa ikiwa atashusha heshima ya Mwanaume.

Huyo Mungu tuu atakusamehe nambo yote lakini sio kumshushia heshima yake.

Unapigwa na wakwe wakija wanachezea
Saf Sana..ndo maana wangu kashika adabu japo sijawah kumtia mabanzi..ila anajua akijichenga hatoachwa.

NB sijaoa

ARUSHA KWETU
 
Back
Top Bottom