Happy birthday my beautiful poem "I belong to Africans"

Relief Mirzska

JF-Expert Member
Jun 13, 2017
13,988
22,379
Siku kama ya leo miaka kumi iliyopita niliandika shairi (POEM) flani hivi ambalo lilitokana na uchungu wa mapenzi.

Kama walivyosema watu wa kale, "mtu akipenda si ajabu kuwa mshairi" na mimi katika haya mapenzi pia nilipitia mambo kadhaa wa kadhaa, nilipitia msoto na pia nilipitia vipindi vya furaha kuu. Kama kawaida mara nyingi huwa watu hawafanikiwi kuingia kwenye maisha ya ndoa na "first love" wao na yanayosababisha yanatofautiana from one person to the other.

Basi bhana baada ya kutofanikiwa kwa mnyange yule ikabidi yakutokea yatokee na ndipo nlipokuja na shairi hili. Nadhani si gumu kung'amua ninachokizungumzia kwenye shairi hili hivyo ntaliweka kama lilivyo.

Kwa vile leo limetimiza good ten years tangu niliandike nikaona sio mbaya nkalileta hapa jamvini as well.

I BELONG TO AFRICANS

I am now back at home
From a very long safari
Though so wounded and harmed
Thanks lord I can narrate the story
Of my short life to them
Which has no certain ordinary
That I lived with whom
I believe is the source of my misery

I was in the foreign place
With whites and Arabians
They call it middle east
Not Damascus was Oman
I stayed there not less
Than a year and some days
Thanks lord I am back
To narrate tortures I faced

12-09-2008, I got into the place
13-09-2008, I started making mistakes
You know my mistake was I only I forgot,
That my skin color was that of black

They are not as kind as those at home
And dominated by idea of racism
You know I learned a lot about them
In and out especially from whom
I used to live with and many of them

I now announce, I belong to Africans
I feel a proud, I am not of Arabians,
I feel a brave because of the blackness,
Forever a proud of this oneness!

NOTE: Kwenye huu ushairi kuna matumizi ya lugha ambayo kwa namna moja ilibidi nipindishe hiki kizungu ili shairi liwe, na washairi nafkiri wanajua kuhusu hili.

Nimejarabu kutaka kutoa kitabu changu cha mashairi lakini nakwama sababu ya muda sina, nimewasiliana na "Mkuki na Nyota" lakini hawapo serious na mimi pia naona sijawa serious. Hivi humu wapo watu wanao-deal na publishing???

Anyway, enjoy reading the poem na kila mtu ajitafsirie ajuavyo.
 
hili jambo linaumiza sana mkuu.......umenikumbusha mbali tuu sana.....i had a love......first love....kiukweli tulipendana sana nikajua yeye ndo atakuwa mke wa maisha yangu.......tulisaidiana kwenye shida na raha....kwenye furaha tulicheka pamoja....kwenye tabu tulipeana faraja...kiukweli yalikuwa ni mapenzi yenye kusisimua sana.....tulionana kwa bahati sana....like mtu amekuja tu likizo ghafla umemuona tu kwa mara ya mwanzo halafu ndo mnajuana na mengine yanaendelea......miaka ikapita mingi ya furaha....akaenda abroad bila kuniaga simlaumu i too nilikuwa mbali....nilipopewa taarifa nikafanya hima kupata mawasiliano yake.... historia yetu ikajirudia tukaishi kwa furaha sana mpaka aliporejea.....lkn sad enough wazazi wake wakawa kizingiti kikubwa sana mimi nisimuoe and it happened.....akaolewa...mwezi tu baada ya ndoa akanitafuta how are u doing za masiku n.k....akanipa taarifa dah nilisikitika ila sikuwa na namna....na mm nikapata alieandikwa kuwa mke wangu......baada ya miezi na mm nikafunga ndoa........miaka imepita sasa....mm nna ndoa ya furaha sana...lkn yeye matatizo matupu mtu hamjali wala hana muda nae kwa lolote....anamuambia anatamani amrudishe kwao.....sasa imagine jinsi gani ananikumbuka...
basi hiyo ndio hadithi yangu.....
namkumbuka pia lakini hayakupangwa kuwa....ila tu i will cherish her forever..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom