Hivi ni kwamba tuko akilini mwenu sana au?

Blood of Jesus Christ

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2014
Posts
617
Reaction score
1,122
Wapendwa habarini za asubuhi!

Kwa uzoefu mdogo nilioupata hapa MMU ni kwamba wanaume ndio wanaoongoza kwa kulalama juu ya wanawake mara ooh wanawake sio watu, mara wanawake na matusi na nyingine nyingi ndo kusema tuko akilini mwenu sana au?

Maana kimtokacho mtu ndivyo onavyo moyoni mwake. Ama sie ndo wakosefu sana au?Jamani tuacheni na sie tupumue ukikwazwa na mmoja huko mtaani malizaneni huko huko na kama yuko JF mfwate PM mwaja lalama huku mwatusumbua tu.

Mtuache na sie tupumue.
 
Uzoefu wa MMU, unajua kuna members wangapi wanaojirudia, hii ni sawa na yule aliyesema wanawake sio watu, wabongo tunapenda kulaumiana hatujuagi kutafuta solution
 
Nadhani mtoa mada kajieleza kwa uzoefu wake mdogo......
 
Wapendwa habarini za asubuhi!

Kwa uzoefu mdogo nilioupata hapa MMU ni kwamba wanaume ndio wanaoongoza kwa kulalama juu ya wanawake mara ooh wanawake sio watu, mara wanawake na matusi na nyingine nyingi ndo kusema tuko akilini mwenu sana au?

Maana kimtokacho mtu ndivyo onavyo moyoni mwake. Ama sie ndo wakosefu sana au?Jamani tuacheni na sie tupumue ukikwazwa na mmoja huko mtaani malizaneni huko huko na kama yuko JF mfwate PM mwaja lalama huku mwatusumbua tu.

Mtuache na sie tupumue.

Hapana. Nyinyi ni vimeo sana.
 
Wanawake ndo maua ya dunia na hata kitakwimu mpo wengi sanaa na jukwaa n la mahusiano hatuwezi kujizungumzia wanaume wenyewe
 
Humu MMU mada ikianzishwa ya kuwaponda wanaume sijawahi kubahatika kuona wanawake wakiwa upande wa wanaume..Ila ikiletwa mada ya kuwaponda wanawake,Ni kawaida kuona wanaume wakiwa upande wa wanawake...
 
Bro, read between the lines. Mkija lalama huku mnawasumbua. Muwafuate PM.
 
Wapendwa habarini za asubuhi!

Kwa uzoefu mdogo nilioupata hapa MMU ni kwamba wanaume ndio wanaoongoza kwa kulalama juu ya wanawake mara ooh wanawake sio watu, mara wanawake na matusi na nyingine nyingi ndo kusema tuko akilini mwenu sana au?

Maana kimtokacho mtu ndivyo onavyo moyoni mwake. Ama sie ndo wakosefu sana au?Jamani tuacheni na sie tupumue ukikwazwa na mmoja huko mtaani malizaneni huko huko na kama yuko JF mfwate PM mwaja lalama huku mwatusumbua tu.

Mtuache na sie tupumue.

Amen... amen
 
Back
Top Bottom