Sasa haya ni Majibu ya barua au shopping ya vitu

Chibudee

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,775
2,397
Wakuu Saalam Tunao Enda Kuoa Tuna Kutana Sana Na Haya Mambo
Jamani Naomba Kuuliza Haya Nimajibu au Shopping Ya Vitu

Naje Inaulazima Gani Kuamishia Duka Ukweni Maana Hili Nalo Duka Kbs Na Mtaji

KINA HAMIDA MTATUUA
FB_IMG_1579808514915.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanj unamuuza mtu au ni tamaduni tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, haya mambo yana maana yake!! Na ndio maana siku hizi wanawake huko kwenye ndoa wanaamua chochote na kujifanya sawa na wanaume! Wakati mwingine sababu ni hizohizo!!

Ndio ni kama unamnunua, na ndio maana atakuzalia watoto, ambao watakuwa na jina lako pamoja na ubini. Pia hata yeye anaweza badili jina lake la pili na kujiita la kwako!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom