Ndoa za siku hizi zina matatizo gani?

Liverpool_Jr

JF-Expert Member
Sep 7, 2019
1,220
1,411
Duh nimekaa na kutafakari juu ya story nilizosikia na ninayoona kwenye ndoa za SIKU HIZI naona ZINANIKATISHA TAMAA KABISA KUOA..!!

1. Ya MABESTE mzee wa ""Baadae Sana"
Huyu msanii alifunga ndoa ghafla mkewe aliugua balaa..
Aliandaa show na kuomba michango ya kumuuguzia mkewe Mara Leo nasikia WAMEACHANA..!!

2. Stamini
Jamaa kagongewe na mchezaji wa mpira na ndoa ikafa..!!
Dah ukubwa na umaarufu wa uhusiano wao wote ule NDOA IMEKUFA..

3. Ninayo mifano mengine kibao ya huku mtaani na ndugu zangu..
Wengi walikua wakilalamika NDOA NGUMU na HATIMAYE ZIKAFAA..!!!

4. Bila kusahau MAGUMU wapitiayo wanandoa ambao WANAISHI tu pamoja ila KIROHO kila mtu yuko kivyake.
Ni watoto tu ndio husababisha wasiachane ila kiroho WALISHAACHANA ZAMANII...!!!

Nadhani kuna haja ya VIONGOZI WA DINI na KIJAMII kutafuta SOLUTION YA NDOA KUVUNJIKA huku JAMII NZIMA tuulizane ""NINI TATIZO?""

Dah yaani huwa NAWAZA KUOA ila nikisikia na kuona hizi PICHA za NDOA ZA SIKU HIZI NAGHAIRI GHAFLA..!!

Ngoja niende KUTAFUTA UBINGWA wa EPL na UEFA..

#Ndoa_Ngumu_Sanaaaaaa
#YNWA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndoa ilikua zamani siku hizi ni drama tu na showoff nyingi.

Mdada ana force ndoa kisa mashosti zake walipost picha zao za harusi insta zikapata likes 1000..

Ujinga ujinga tu.
Sikuhizi wanawake wanataka pesa, zamani baba ndiye alikuwa mtafutaji pesa ya kulea familia, wasichana wengi wanaolewa ili kupata address za ndoa tu lakini ukiwachunguza ni wazugaji tu
 
Back
Top Bottom