Sio ule upole wa kutafuta mume,naongelea upole Asilia mliobarikiwa na Mungu....Yaani kumbe ni wakorofi hivi mnapokuwa chumbani,mnakuwa km watoto wa chekechea Aisee! Ila mkiwa barabarani...
Mdada huna mimba lakini umebeba ki fridge, hii ni hatari sana. Hakuna nguo itakayo kupendeza zaidi ya dera.
Sasa umekutana na mkaka amekupenda kwakua mambo yako ya usafi wa nyumba, kupika na...
Message…nilkuwa na mchumba wangu toka mwaka 2014 tukawekeana ahad ya kuoana ntakapomalza chuo 2018 na shatuma wazaz kuongea mahar cha ajab 2017 kapewa mimba yaan ctosahau ndugu zangu wanawake c watu
Wakuu nipeni ushauri baada ya kuelezea mkasa huu, kwamba nipige chini au niendelee?
Ni wiki moja sasa imepita tangu nimtongoze binti mmoja mtaani kwetu ambae si mwenyeji sana pale kitaa.
Yeye...
Wasalaam
Wakuu mimi ni bahiri kelikweli
kipato changu duni sana chini ya 300K kwa mwezi, mpenzi wangu kaniomba elfu 30 aongeze yake 60 anunue smartphone wakati huo yeye ana simu nyingine...
Ile video ya 'Hamida Kaniacha' inahuzunisha. Sijui kama hio video ni genuine (ina ukweli wote) au sio, lakini jambo la ukweli vijana wanachanganyikiwa sana wapenzi wao warembo wakiwaacha.
Vijana...
Tunathamini elimu kuliko utu wa watoto wetu
Mtoto anapelekwa shule ya bweni tangu akiwa chekechea
Watoto wanakosa upendo wa wazazi wao na wanalelewa kama watoto yatima
Matokeo ya hizi shule za...
Habari wakuu,
Moja kwa moja niende kwenye mada tajwa:-
Kuna binti fulani tulikuwa tunawasiliana through social network na hatujawahi onana live tunaonana tu mitandaoni.
Tumeanzisha mausiano ya...
Kuna binti enzi za o-level nilimfukuzia kumpata kwa bahati mbaya sikuweza kupata chance hata ya kuongea nae, kwa bahati fulani ivi binti alichaguliwa kujiunga O-level form one kipindi kile 2012...
Wakuu polen na majukumu
Mm ni mdau nina mademu wawili.wote wako good kila secta na wote wacha Mungu,changamoto ninayoipata ni kwamba nimeanza kuwaza swala la kuoaa ttzo linakuja naona wote ni wife...
Je wanawake wanaweza kufurahia mahusiano mapya ya wenza wao walioachana?
Kwa watu wenye mahusiano au wanandoa kuachana ni jambo gumu sana katika Maisha hususan kwa wanawake hasa ikiwa katika...
Alisepa kwa nyodo tulipoachana kisa sina hela wala ajira
Nikambembeleza arudi lakin waapi
Nakumbuka alinipa jibu mpaka siku nikaiona chungu
Nikapiga moyo konde kutafuta pesa
Maisha yakaenda...
Kimahusiano wanasema hisia hasa za mapenzi huanzia kwnye uhusiano wa kwanza....!!
Kisha baada ya kuachana na huyo mtu mwanamke hua ana nafasi ya pili kupata mtu atakayempenda kweli...
Maeneo ya makumbusho/ kijitonyama massage parlour nasikia zipo nyingi sana, naomba kujua ni wapi kuna zenye huduma nzuri na watoto wazuri maana wiki hii uchovu umekuwa mwingi sana, naomba kujua...
Wasalaam
Leo katika pitapita,nimeshuhudia ugomvi wa wadada wawili,yaani Ni aibu,mmoja kabaki na top na chupi tuu,mwingine blauzi imechanika matiti nje,na bado watu hawajawaamulia Hadi naondoka...
habari!
hivi hili wimbi la wanaume wa kileo mbona kila siku linakuja kwa kasi, mwanzo ilikuwa mijini leo mpaka kijijini unakutana na walamba midomo, wasiopenda kupambana kufanya kazi na walau na...
Utafiti umebainisha kwamba kufanya mapenzi angalau mara tatu kwa wiki kunapunguza uwezekano wa kupatwa Heart Attack (Shambulio la Moyo) kwa 50% ukilinganishwa na yule ambaye anapitisha wiki nzima...
Wakuu habari za asubuhi!
Nina rafiki amejikuta yupo njia panda, baada ya kujua ukweli na maamuzi yalishatoka kitambo.
*jamaa alimsomesha binti o'level mpaka certificate (mambo ya health)...
Mtanisamehe na bla blah blah zangu..
Soma ukifeel my situation.
Unajua katika maisha huwa kuna wakati wa goodluck, yani unaenjoy life poa kabisa, kama ni pesa unakua nayo, kama ni mpenz unakua...
Mahusiano yako ya mwisho yalivunjika kwa sababu gani??
Mimi sikumpost happy birthday ikiwa ndo basi tena[emoji16][emoji16].
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.