ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,322
- 89,731
Salaam nyingi wakuu..
Moja kwa moja kwenye hoja,hatimaye baharia nimepata bikira na kuimenya mwenyewe. Hii bikira imeshafika bei na inanaielewa sana.
Sasa ni kwamba nimeoa ila kama mjuavyo na tunavyoshauriwa ni kwamba ukimenya mwenyewe hakuna kupasha viporo vya ma x na ule usumbufu wa ndani ya ndoa huwa haupo maana unakuwa umemenya mwenyewe na hakuna vya kulinganisha. Kiukweli natamani hii bikira niitie ndani na imeshakubali inanisubiri mimi tu nimalize mchezo.
Sasa kinachonitataiza ni kwamba nilipo saizi mtoto ni mdogo nikianzisha kambi nyingine si itakuwa noma sana au mnasemaje mabaharia wenzangu. Bikira T anajua kwamba nina mtoto ila nilimwambia ni wa mazoezi ya kutest mitambo akasema haina shida.
Ushauri tafadhali ujue hii nayo ni njiapanda, bikira naitaka lakini namhurumia mtoto wangu,h ata ungekuwa wewe kumenya bikira zama hizi ni bahati sana kukuta binti aliyemaliza Form 4 two years ago na kwao ni maisha ya chini hajapitiwa na mabaharia lazima utamuamini na utaona ni muaminifu sana amejitahidi aisee maana sehemu nilikomkuta ni miji hatarishi kwa mabinti kuna mabaharia hatari.
Tupia ushauri tafadhali ili za kuambiwa nichanganye na zangu.