Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Katika hali ya kushangaza mkoa wa pwani kwa sasa wanawake warembo na wachapakazi wamekuwa wakiitwa joketi. Wazazi wengi wamekuwa wakihamasisha mabinti zao wawe warembo,wawe wachapakazi na pia...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Baada ya mke mkubwa kujisahau na kuamini yeye ndo kila kitu kwangu. Niliamua kuvuta mke wa pili,hatimaye mke mkubwa akashusha maringo yake. Leo yeye na mke mdogo ni kama mapacha popote wapo...
5 Reactions
34 Replies
4K Views
Huyo mtu atakuwa ana tatizo gani maana hatokwi na damu yenyewe kabisa siku za hedhi badala yake ni kama UCHAFU tu alafu ndani ya siku 1 au 2 tu imekata Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Kwa mujibu wa tafiti liyofanya na taasisi isiyo ya kiserikali, ' Msukuma Faundation . Imebaini kuwa. Asilimia 90 ya wanawake hulazimika kufanya Ngono pasipo ridhaa yao kwa wanaume wenye access ya...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Wana kazi za kawaida, kipato chini 700k kwa mwezi. Lakini wanasukuma Ndinga moja za maana aisee, Ukiwakuta wamevaa miwani yao myeusi utafikiri wanafanya kazi Hazina ama BOT lakini kumbe sio...
10 Reactions
67 Replies
7K Views
Nafanya kazi Karibu na kituo kikuu Cha police na ofisi kuu ya RPC Kila ikifika Jumatatu napatwa na maumivu sana kwa ninayo yaona Nawaona wanaume wenzangu wengi sana wamefungwa mashati,pingu...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari zenu wana jf Leo Niko hapa kwa ajili ya kutafta rafiki wa kike wa kuchat nae ila asiwe ameolewa umri wowote kwa atakae kua tayari ani pm Niko dar maeneo ya tegeta ,mie umri wangu 31 sjaoa...
0 Reactions
5 Replies
928 Views
Hii ni to much sasa nahisi naelekea kubaya maana kila nimwonapo mwanamke mwenye wowowo nachanganyikiwa, kiasi nafirisika kiuchumi hadi kiakili, sametime hadi naweza tafuta sehemu nikaenda...
6 Reactions
75 Replies
32K Views
Ni matumaini yangu kwamba wanabodi wenzangu hamjambo na mnaendelea vizuri katika ujenzi wa taifa letu. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Niseme wazi kwamba wanawake ni maua yetu...
3 Reactions
29 Replies
5K Views
Habar wanaJf Naomba tushee maujuzi kuhusiana na makabila na ufanisi wa tendo je ni kwel baadhi ya makabila yana sifa ya kua wafanisi katka nyanja ya 6×6 tuchangie kwa facts Sent using Jamii...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Hata kama huyo mkeo au girlfriend wako katoka familia tajiri, ana kazi au biashara ya kumwingizia hela, yaani ukiishiwa pesa dharau zitaanza na mwisho wake ni kuvunjika kwa mahusiano, uchumba, au...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Jumapili njema wakuu tumshukuru Mungu kwa kutuwezesha tena kuiona siku njema machoni pa Mungu. Mungu ni mwema wakati wote Mada kuu: Mimi nina mpenzi wangu wa kike nimekuwa naye kimahusiano kwa...
0 Reactions
70 Replies
9K Views
Wanawake weusi popote mlipo mnisamehe Japo sio wote ila wengi ndio mpo hivo. Baada ya kuangalia vidz tofauti mastaa wanazovujisha Nkagundua Amber Rutty aliteka wengi why!? Coz ni mweupe kila kitu...
10 Reactions
194 Replies
27K Views
Aisee jana ilikuwa siku mbaya sana kwangu pale aliyekuwa mpenzi wangu alipoona picha za wanangu kwenye status ya WhatsApp. Aliniuliza na nikaamua kumwambia ukweli bila kuficha kitu kuwa nina...
2 Reactions
100 Replies
13K Views
Naomba nikiri kuwa wife ni mrembo sana na nimetoka naye mbali. Tuna watoto wawili. Kiufupi wife nampenda sana hata yeye ananipenda mno maana mimi ndio mwanaume wake wa kwanza, mimi ndiye...
3 Reactions
116 Replies
11K Views
Enzi zile mpenzi alikuwa anatafutwa lakini leo hii wanawake ndiyo wamekuwa wanawatafuta wanaume. Enzi zile ilikuwa mtu anafika hadi miaka 20 hamjui mwanamke. Lakini leo vijana wa miaka 10 mpaka...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu wanaJF, ni miaka kadhaa imepita nilikuwa kwenye mahusiano na dada mmoja. Nilionana naye kwenye maeneo hatarishi sana nikamtongoza dada wa watu akaweka tick nikawa nakula mzigo kama kawaida...
4 Reactions
40 Replies
49K Views
Hivi kwann ukimlala mwanamke hakuangalii machoni ? Kwann mnatuonea aibu?
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nina kama wiki hivi tulitofautiana kidogo na mume wangu. Tuligombana sana ila sio ngumi in short alinikwaza. Sasa kwa hasira nikahamia kulala chumba cha wageni nikidhani baada ya muda atakuja...
34 Reactions
239 Replies
23K Views
Agiza kinywaji kwa hela yako ntalipa ukinituma.
0 Reactions
0 Replies
641 Views
Back
Top Bottom