Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,418
Dedication for you..
All of you ambao mnawafanya watu wanachanganyikiwa. If you wish, nenda YouTube ukaiskilize yote.
And to you the special one, this is it.
Jirani....Jiraaaniii
Na weye ndio katika hao mnaovuruga vijana humu mpaka hawajielewi.Usiulaumu Moyo wako wala Macho yako ila ilaumu Tabia yako.
Wimbo mzuri, hivi hauna Video nyingine?
Video nyengine??? Mbona nyingi tu zipoUsiulaumu Moyo wako wala Macho yako ila ilaumu Tabia yako.
Wimbo mzuri, hivi hauna Video nyingine?
Hapana si kweli. Mimi sichezeagi hisia za mtu ila naishiaga kuchezewa hisia zangu.Na weye ndio katika hao mnaovuruga vijana humu mpaka hawajielewi.
Competition over you imekuwa ya hali ya juu sana. Kwa hiyo wimbo unakuhusu huu
Tamba naijua na ninayo, ila nataka video nyingine ya huo wimbo. Maana nimeambulia kuona bahari, samaki, Zanzibar nk. Au ndio video yake?Video nyengine??? Mbona nyingi tu zipo
Tamba unaijua???
Tbh, that needs a serious consideration. Ingekuwa mimi ningejiuliza "why always me"??Hapana si kweli. Mimi sichezeagi hisia za mtu ila naishiaga kuchezewa hisia zangu.
Ndio video yake hiyo. Ukienda YouTube ndio unaikuta hiyo.Tamba naijua na ninayo, ila nataka video nyingine ya huo wimbo. Maana nimeambulia kuona bahari, samaki, Zanzibar nk. Au ndio video yake?
Mimi umenionea jamani, vijana huwa wanamshukuru Mungu kwa kweli!Huu wimbo kwa kweli unawafaa watu ambao wamesababisha vijana kulaumu macho yao kwa kuona.
List ni kama ifuatavyo.
Khantwe
cute b
Zuriel_cfc
Sakayo
kapeace
Hannah
Mzigua90
Zesh
Saint anne
Fragaria
Shunie
Madam vivian original
Vi rendra
ledada
Na wengine weeeeeengi.
Jumanne saa Saba mchana???Amelala mkuu
HahahaahahahahahaahahMimi umenionea jamani, vijana huwa wanamshukuru Mungu kwa kweli!
Tusio kwenye list tunasema AmeenHuu wimbo kwa kweli unawafaa watu ambao wamesababisha vijana kulaumu macho yao kwa kuona.
List ni kama ifuatavyo.
Khantwe
cute b
Zuriel_cfc
Sakayo
kapeace
Hannah
Mzigua90
Zesh
Saint anne
Fragaria
Shunie
Madam vivian original
Vi rendra
ledada
Na wengine weeeeeengi.
Duuuh. So ninatakiwa nijilaumu mwenyewe kwa kila mtu anayechezea hisia zangu?Tbh, that needs a serious consideration. Ingekuwa mimi ningejiuliza "why always me"??
I would definitely work in pointing fingers to myself first.
What I am saying is, that needs a discussion!