Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ndugu zangu,ukisikia njia panda Kali ndiyo hii!! Mwaka 2010 niliachana na mpnz wangu nliyempenda sanaaa,ktk kipindi hicho cha mpito nilikutana na msichana mmoja mkoani huko,nikamtongoza...
37 Reactions
511 Replies
48K Views
Unachovya unakuja gundua umetoka na HIV wakati umeshaoa na una mtoto wa mwezi mmoja wa kiume. Na aliyekupa HIV ndiyo huyo ulimuoa vipi utamuacha?
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Ongea tu ule Ukweli Hivi ukikutana na Zero IQ leo hii utamuambia nini? Cc Zero IQ
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Kwa wale ambao wameoa au kuolewa na wanauelewa wa sheria za ndoa nilitaka kujua sheria hii imekaaje pale mimi ninapo oa na baada ya kuoa mzazi wangu akanipa nyumba ya kwenda kuanzia maisha ,gari...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Serikali zote duniani kwasasa zinapigania 50/50 kuwafanya wanawake wawe pia viongozi katika sekta ya umma tafiti zinaonyesha wanawake sio wabadhirifu pia ukiwasaidia faida inaenda moja kwa moja...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, napenda kuutumia muda huu kuwaomba na kuwashauri wanaume wenzangu kuwa, ikitokea umempa binti/msichana mimba katu usiikatae lea mimba kisha lea mtoto hata...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Kama kichwa kinavyoeleza hapo juu, wengi saaana tumepata ajali na kujeruhiwa mioyoni. Wenye mioyo miepesi huwa wanajiua. Asee si wanawake au wanaume, hakuna mjanja katika ulimwengu wa mapenzi...
4 Reactions
26 Replies
4K Views
Wakuu Mimi na tatizo moja ambalo linanikuta katika mahusiano. Mara nyingi kama sio mara zote nimekuwa najikuta nimeangukia katika mapenzi na watu walionizidi umri. Sio masugar mama hapana ila...
1 Reactions
59 Replies
5K Views
7 WAYS TO DISCOVER THE WILL OF GOD IN MARRIAGE A lot of things have been said and written about the will of God in marriage. Many people, especially Christians, are concerned about marrying the...
1 Reactions
1 Replies
721 Views
Wakuu habari za leo, ni matumaini yangu kuwa mu wazima wa afya. Leo naomba tuujadili ushenzi wa mzungu jinsi alivyo tumia nguvu nyingi na kutumia mistari ya kwenye biblia kuaminisha waafrika kuwa...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
Salaam kwenu wana MMU! Naleta kwenu mjadala huru huu. Hivi ikatokea kwa pamoja ukapata aidha safari ama mizunguko mkawa na mama yako mzazi, kama mwanaume ndiyo unaendesha gari hilo yupi kati yao...
2 Reactions
329 Replies
28K Views
Poleni ma majukum Siku za hivi karibuni yapata miezi mitatu hivi nyuma nimekua sina ashki na tendo la ndoa yani sisikii raha yoyote pale ninapofanya tendo la ndoa Kabla ya kufanya tendo ninakua...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Baada ya kukagua nyumba yao, wenye nyumba wanaweza kuchagua kuibomoa au kuirekebisha. JE, NDOA yako imefikia hatua hiyo? Huenda mwenzi wako amekosa kuwa mwaminifu au ugomvi wa kila mara umefanya...
2 Reactions
11 Replies
4K Views
Najua tunawapenda sana wanawake/wapenzi zetu lakini kuna vitu hadi na leo hii kuna baadhi ya wanaume hawavijui achilia mbali kuvifanya kwa wapenzi zao, kuna mambo mawili magumu yanayowashinda...
10 Reactions
152 Replies
15K Views
Ukitoa kula, kitu kingine ambacho ni muhimu kwa binadamu ni kufanya mapenzi. Hata wanyama nao wamepewa zawadi hii. Angalia mbwa, tena hawa viumbe wanafaidi sana wanafanya mpaka mwisho...
9 Reactions
133 Replies
29K Views
Konichiwa, "Catalyst is a substance that increases the rate of a chemical reaction without itself undergoing any permanent chemical change" Kuna msemo mmoja sijui nani aliusemaga unasema...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu katika jambi letu hili pendwa. Leo nataka kuelezea vile nilivyojikuta nimenaswa kihisia na mtu mmoja aitwaye imeldaB . Huyu bidada alikuwa anatafuta mume mie nikasema wacha...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa kikao nitakuwa mwenyewe... Najihisi nimeborekaboreka hivi... NB: Wanawake mnaruhusiwa kusoma (na ikiwezekana kusema Hhhhmmm) halafu mnapita kimyakimya. Karibuni wajumbe.
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Wana MMU Kuna rafiki yangu amekuwa kwenye ndoa karibia miaka 10 sasa .. Hivi majuzi ndoa yao imeanza kupata migogoro ambayo yeye binafsi hajui chanzo chake nini.. Mwazoni alihisi labda mkewe...
3 Reactions
55 Replies
6K Views
Habari wana jukwaa la wakubwa! Twende kwenye mada. Je, uliwahi kuhonga au unampango wa kumwonga mtu hivi karibuni? Unahonga ili kuonyesha upendo na kumthanini mtu au unahonga ili kupunguza...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom