Mshinga
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 3,532
- 1,130
kuna hii aina ya uhusiano wa kimapenzi iliyopewa jina la open relationshi=mapenzi yasiyokufunga kuwa na mpenzi/wapenzi wengine hata kama mpenzi wako akijua wala hamind na wewe ukimuona na demu mwingine wala hakuna tatizo.
Wapenzi wa namna hii huwa mara nyingi wanakuwa na siri ya uhusiano wao na pengine wanatambulishana kwa wapenzi wao wengine kuwa"huyu ndiyo girlfrend wangu ama huyu ndio boyfriend wangu na hao wanaotambulishwa wasijue kama hawa ni wapenzi na si masheji ama mawifi kama wanavyodanganywa".
WENGI WANATAMBULISHWA KWA HAWA WATU NA HAWAJUI NA WANABAKIA Kujua yule ni wifi kumbe mke mwenza ama yule ni shemeji kumbe mume mwenza.
LAKINI KUNA WENGINE KWENYE facebook Nashindwa kuelewa kama wanamaanisha open relatioship ya kweli wanapoandika hivyo status zao kwa love ama wanafanya direct english swahili translation na kufikiri open relationship=uhusiano usio wa kificho, mana ni ngumu kidogo kuweka wazi kuwa una mpenzi tayari lakini haikufungi kuwa na mwingine.