CarloJesus
JF-Expert Member
- Nov 5, 2019
- 431
- 838
Wasalaam
Imani yangu inanifundisha kusamehe yote, najitahidi kufanya hivyo lakini hili nimepata ugumu japo kusahau siwezi
Muda kidogo umepita, tulikuwa tunacheki mpira maeneo Fulani classic kiaina, hamna amsha amsha za vibanda umiza.
Hapa na hapa timu nayoishabikia ikashinda...Mara jombaa mmoja,mtu wa makamo,kwa muonekano tuu anaonekana Yuko njema...jamaa si akatupiga biti "oh Kama hamshabikii timu Fulani mtoke hapa,alianza Kama utani, then kachange akawa serious (na tu bia tulichangia). Mara kaanza unajua mi Nani huku akichanganya na kimalkia na Mimi nkawa namjibu hivyo hivyo "we mtu tuu".
Loh nkaona kachukua simu akaenda hewani "aroo watu gani wako doria hapa jirani na Temboni'' nilijua utani kumbe serious, jamaa yangu sijui hata alipoteaje
Mimi Sasa nikajua huu msala...kusepe nashindwa naona aibu kukomaa mavi yanagonga Pichu maana najua kule kuingia hamna kiingilio ila Kuna kitokeo duh bana Kama maskhara jamaa Hawa hapa na land cruiser, tupiwa garini halafu yule mshua akasema nakuja. Mara huyu hapa nae kafika kituoni 'GOGONI MBEZI' kwa mliowahi pasikia, kashuka kwenye V8...kapewa saluti Kama zote...asee nilipokuwa chezea kipondo mixer na mkia wa taa asubuhi mahakamani, kosa nilikuwa nafanya uhalifu wa kutishia Mali na usalama wa watu kuangalia anaenishtaki, The Inspector Nani jenero sijui...nkaachiwa kwa dhamana na lawama nyingi kwa ndugu zangu niliumia Sana baadae kesi iliisha
Ila kila nikimkumbuka huyu mtu. nasema namwachia Mungu jamaa fulani white,ana lafudhi ya kichaga
Nishamsamehe ila sitasahau
Sent using Jamii Forums mobile app