Mwanaume mwenye mapenzi ya dhati

kihuba

JF-Expert Member
Jul 29, 2017
264
265
Mwanaume mwenye upweke anakalibishwa/anae taka mke wa pili

Sifa awe mwanaume kamili
Umri 29-40
Maji ya kunde
Asiwe mfupi Wala mrefu
Anae jituma kimaendeleo na mchapa kazi
Awe na uwezo wa kutimiza majukumu yake
Naitaji kitandani awe vizuri kwakua napenda Sana kuridhishwa

Unapo kuja pm ujieleze na uache mawasiliano yako nikipendezwa ntakutafuta tuzungumze Kama tutaendana

Sitajibu text za kejeri maaana mie pia nimejaa kejeri.

Sifa zangu ni mwanamke mpole mcheshi tofauti na hapo nikionewa ni mkari na mwepesi kusamehee na mwenye msimamo thabiti
Napenda shuguli za nyumbani Sana,
Najishugulisha na vibarua vya apa na pale Kama kufua ,,kusafisha nyumba za wenye uhitaji nk

Elimu yangu kidato Cha nne
Sina mtoto
Miaka 28
Mkristo
Umbo kati na makalio ya Kati
Rangi mweusi

Pm wazi karibu
 
Mpaka mfute vigezo vyote..!
 
Haya nyie wakristo wenye ndoa moja kujeni uku muongeze mke wa pili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom