Sitasahau kuhusu hii Condom

Bin Shaib

JF-Expert Member
Aug 1, 2019
1,315
1,186
Wakuu, nipo kasi kwa maada mwaka huu 2020 na naona ni jambo jema kujuzana kumbukumbu za maisha.

Ilikuwa mwaka 12 nilikuwa na manzi mmoja, yaani namaanisha demu wangu au mpenzi wangu na ndo alikuwa mtu wangu wa kwanza toka nianze mahusiano.

Tuliendelea katika mahusiano yetu kwa muda mrefu, huyo demu alikuwa kidato cha pili, mpaka sasa naamini sijawahi kumpenda binti kwa upendo ule yaani nilikuwa nampenda asilimia 100%.

Japo mimi sijui alikuwa ananipenda kwa asilimia ngapi na ogopa kumpenda binti kufa kuoza, unakuwa fala yaani anacho kwambia au anacho kuomba lazima uto, kama huna utatamani ukope ili unridhishe.

Alikuwa akitoka au ameenda shule mawazo yote ni kumuwaza yeye tu natamani muda wote niwe naye.

NIFUPISHE STORY. LENGO LA MAADA NI CONDOM

Tuliahidiana kuhusu mgegedo tukapangilia mambo yakawa poa siku ya mgegedo ikafika, kwao na binti palikuwa karibu na home kwetu yaani tunatenganishwa na mipaka ya kiwanja na nilikuwa na mazoea ya kwenda pale kwao.

Usiku mwanaume nikatimba nikiwa na condom zangu mfukoni kwa maana alinambia hawezi fanya mapenzi bila kinga kwani anaogopa mimba na magonjwa kwa maana hatujapima na bado yupo shule.

Ilikuwa saa nane usiku tukiwa wawili tu basi nikaanza kumutomasa baadae akaniuliza umeshavaa condom, nikavaa chap chap nikamwambia tayari maana ilikuwa giza halafu nikama tunaiba.

Akasaula nguo na kulala chali, ile naanza kuweka dude mtoto akawa anaruka kana kwamba anahisi maumivu wakati nikishika dushe na kuingiza naona ni kupana nikajua hii mikwara, sijakaa sawa naona binti anaamka chap na kukimbia ndani kwa maana tulikuwa kwenye gofu moja la nyumba. Nikamfuata na kumuuliza umeona nini, anasema ameona mtu.

Dah mimi nikamwambia mbona mimi sijamuona akaniambia kwani hujaridhika tu, kasema tutafanya siku nyingine.

TATIZO

Duh niliishiwa pozi nikiwa nimesimama pale kumbe nimesahau kuitoa ile kondom hadi uume ukaanza kunywea ikiwa bado sijaitoa.

Ndo nikaitoa nikasepa zangu kwa majonzi baada ya siku kadhaa nikaona mzunguko kwenye shina la uume nikagundua ile condom ndo iliniumiza mpaka leo hii hali ni ileile. Alama ile huwa ipo na sehemu hiyo huwa ni pembamba. Nikaapa kutumia condom mpaka leo sijawahi kutumia condom japo mapenzi sifanyi mara kwa mara.

NANI MWINGINE ANA MKASA WA KUUMIZWA NA CONDOM KAMA MIMI?

Kumbe kipindi hicho tupo kwenye mahusiano alikuwa na mimba ya msela, Dah ilifikia kipindi tukazinguana na akafukuzwa shule sababu ya ujauzito. Mpaka leo huwa simuamini sana binti anayesema ananipenda kwa dhati, binti anakwambia anakupenda kumbe analenga kitu.

Muwe na siku njema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom