Hii nafsi ya kutaka kumshusha mwenzio inatoka wapi?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,318
Reaction score
64,475
Ukipiga hatua tu kimaendelea,kielimu,kimaisha,kibiashara,kiuongozi, kimuziki n.k wengi wanakuwa wanakuchukia na ikiwezekana wengine wanakutafutia zengwe ili mradi tu hatua uliyoifikia ionekane kwako si sahihi bali unatakiwa urudi nyuma;na wapo wengine wanatamani ata uhai wako usiwepo. Hii nafsi ya kutaka kumshusha mwenzio inatoka wapi?
 
inatoka kanda ya ziwa
 
binadam wabaya mkuu, nilikutana na changamoto hii siku za nyuma... nikawa najipeleleza sana wapi nakosea hadi nachukiwa bila sababu??
nikawa najitahidi kuwacare sana frnds, ndg jamaa na majirani bt bado sikupata suluhu ndipo nikajua kua hatua nazopga ndo kikwazo... hapo ndipo nilipoamua kuishi kwa kutomjali mtu mpaka now mambo yanaenda uzuri kabisa
 
Nilicho jifunza ukiwa karibu na mbwa atakungata, na ukiwa karibu na wenye roho mbaya unawapa nafasi wakuchukie. Suluhu ni kuwa nao mbali

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Ukipiga hatua tu kimaendelea,kielimu,kimaisha,kibiashara,kiuongozi, kimuziki n.k wengi wanakuwa wanakuchukia na ikiwezekana wengine wanakutafutia zengwe ili mradi tu hatua uliyoifikia ionekane kwako si sahihi bali unatakiwa urudi nyuma;na wapo wengine wanatamani ata uhai wako usiwepo. Hii nafsi ya kutaka kumshusha mwenzio inatoka wapi?
Ni roho ya kishetani.
Mafanikio ya mwemzio yanatakiwa kuwa chachu ya mafanikio yako kwa namna chanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika kipindi ambcho nmejionea wanafki wengi basi ni 2019

Watu hawapendi upige hatua
Watu wanatafta kila reason ya kukuangusha
Watu wanaongea mengi kuhusu wew kila ukipita

Yan hii imesababisha hata njia zenye watu wengi niwajuao nisipite...!!

Hakuna kiumbe mbaya kama binadam

Sent using Jamii Forums mobile app

ukiona unachukiwa ujie wewe una faida na ni wamaana .kama mti una matunda utapigwaje mawe

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom