Nahisi mke wangu anampenda mpangaji mwenzangu ambaye ni bachela

Behind the camera

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
315
740
Kwa dalili hizi nahisi jamaa amependwa. Na sijui kama bado hajapewa mzigo.

Dalili zenyewe ni hizi.

1. Mke wangu haishi kusifu maisha ya jamaa, japo Ni ya kawaida tu.

2. Haishi kusifia michepuko / mademu anaoingiza na kubadilisha kila day.

3. Mke wangu alipoondoka jamaa alitaka kuniulizia akasita.

4. Yule mwanangu mdogo anapenda kwenda kule kwenye chumba Cha jamaa. Na mke wangu utamsikia mwa huyu kaka anapenda watoto kweli...

5. Jamaa akiniona ana Kama aibu flani hivi na anawahi kunisalimia kwa ka woga hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Punguza wivu mkubwa dalili zinaonyesha hajapasua mashine ila ndio wako kwenye harakati
Kwa dalili hizi nahisi jamaa amependwa. Na sijui kama bado hajapewa mzigo.

Dalili zenyewe ni hizi.

1. Mke wangu haishi kusifu maisha ya jamaa, japo Ni ya kawaida tu.

2. Haishi kusifia michepuko / mademu anaoingiza na kubadilisha kila day.

3. Mke wangu alipoondoka jamaa alitaka kuniulizia akasita.

4. Yule mwanangu mdogo anapenda kwenda kule kwenye chumba Cha jamaa. Na mke wangu utamsikia mwa huyu kaka anapenda watoto kweli...

5. Jamaa akiniona ana Kama aibu flani hivi na anawahi kunisalimia kwa ka woga hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom