Anatamani nikamtafune ila tatizo ana period isiyokoma

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,674
Huyu Binti wa chuo (jina kapuni) kaingia kibra wiki ya pili sasa,
Nimeshampanga mambo sawa ata yeye anaonyesha kutamani sana kukutana na mimi nimchakate,

ila tatizo ni kwamba ana period isiyokoma mwezi wa pili sasa unaenda wa tatu,
Nimemuuliza nini tatizo anasema alichoma Sindano ya Uzazi wa mpango,

Wakuu nipeni dawa ata ya kumkausha Siku moja niende nikamchakate,
Umbo lake la Ushawishi ndio tatizo linafanya niwe na hamu nae ya kuingia Mchakatoni.

Mabaharia wenzangu nipeni mbinu

Cc Zero IQ

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna binti naishi nae hapa alitoa mimba kimya kimya. ..alibleed nonstop mwezi mzima tumbo lilikua linamuuma hatari. .alificha yakamkaba kooni akamuambia binti wakazi makamu yake. . Binti wakazi a kaniambia mama mwenzio Janet hivi na vile ana mwezi sasa. ..ndo nikampeleka hospitali troooobaaaa kumbe alitoa kienyeji haikutoka vizuri kupima kitu positive. .

Ndo kufanya mpango wa kumsafisha shenz kabisa

Cc Smart911

Similar Discussions

Back
Top Bottom