Ukiachwa achika, hivi kwa nini hamtaki kukubali?

Abercrombie13

Member
Joined
Jul 14, 2018
Posts
65
Reaction score
120
Habari za asubuhi wana MMU, Najua mpo katika harakat za kusaka chapaa lakin sio vibaya tukishauriana hapa. Kiukwel nilikuwa na mwanamke natoka nae zahidi ya miaka tano na nilimtambulisha kabisa kwa baadhi ya ndugu zangu. Katika mahusiano tumevuka milima na mabonde ila mwenzangu alikuwa ni msiri Sana hata simu yake hajisikii vizuri ukishika ila za wenzie ni kiherehere.

Kidume nikaona isiwe tabu, lakin kadir muda ukivyokua unasonga nikagundua kuwa ana nicheat Nikimuuliza anakataa. Ki ukweli nilimpenda Sana na ilikuwa ikitokea tumekwazana anawapigia dada zangu wakati mwingine had mama kunishtaki japo ni kwa ujinga wake.

Amenikosea Mara nyingi na nimemsamee Sana. Nafikir ndio akaona ashajipatia boya lake. Mwaka jana April nikaona kamweka profile picture mwanaume nikimuuliza Anasema kaka yake. Nikamuomba namba akagoma Tukazinguana. Siku ya birthday yake Yule jamaa namwona mitandaon naye anamtakia kheri ya kuzaliwa as if ni mpenz wake.

Nikamwambia akajifanya kakasirika tukaachana. Baada ya muda kaz kuwasumbua ndugu zangu, Nami kwa kuwa nilikuwa nampenda nikarudisha moyo nyuma. Maisha yakaendelea ila December mwaka jana nampigia simu usiku anapokea mwanaume.

Baadaye akapiga kupitia namba yake kumbe Jamaa ame-divert namba ya binti. Kesho bint namuuliza anajifanya hajui nikifatilia namba ni ya Yule jamaa. Nikaona isiwe tabu nikaachana nae kiroho safi. Ila amekuwa haachi kunitafuta nimemblock vya kutosha ila kila siku Anaazima namba mpya kunitafuta.

Nimemueleza kuwa Niko kwenye mahusiano lakn bado amekuwa king'ang'anizi. Haipiti siku bila kunitafuta tena kwa namba mpya maana kila namba anayonichek nablock. Ingekua ni wewe ungefanyaje ili kuepukana na usumbufu huu maana ni kero kwa upande wangu na ndugu zangu. Uzi tayari
Screenshot_20200207-105448~2.jpeg

Living my dreams

Update: Binti wa watu hajaacha kunitafuta. Kawaambia hadi wazazi wake. Jana hadi Leo wanapiga simu kwa fujo. Wanasema Nimpe japo matumain bint yao Kwan kachanganyikiwa na Kawaambia kashindwa kabisa kuvumilia kuwa bila ya mimi. Wanataka niende kwao nikaongee nao. Binti kwao ni Muslim ila kalazimisha kubadili dini na kasema yuko tayar kufanya lolote.
 
Chifu umenena vyema anavyorespond kwenye SMS na call zake demu ndo anapata munkari wa kupambana kulifufua penzi ambalo mwana anadai kaliua. Anachotakiwa kufanya ni kama ulivyoelekeza chifu
Shida yako unajibu message zake,hutakiwi kujibu kama humuitaji.

Ukiona namba mpya pokea halafu nyamaza usiongee kitu chochote mpaka usikie sauti ya aliyekupigia, ukisikia ni yeye kata simu halafu usipokee tena.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sasa si ubadiri namba simple tuu
Na Ndugu zako Wakome kumpa namba zako
 
Shida yako unajibu message zake,hutakiwi kujibu kama humuitaji.

Ukiona namba mpya pokea halafu nyamaza usiongee kitu chochote mpaka usikie sauti ya aliyekupigia, ukisikia ni yeye kata simu halafu usipokee tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee imekua ni kero nitafanya hivo mkuu.

Living my dreams
 
Kazi ya kudate vislay queen hvyo, picha ulishaliona toka awali ila uliamua tu kukaza moyo.. Usijibu text zake namba mpya usipokee yn kusiwe na namna yoyote ya yeye kusikia ht pumzi yako tu. Ataenda atachoka mwenyew huyo ni anajidai kapatwa na kichaa cha penzi hana lolote anakuigizia tu, alikuwa anakutumia tu anaependwa ni huyo njemba nyingine
 
Kwa hizo msg tu kama za kukejeli hivi anauhakika hufui dafu kwake Yan wewe ni boya lake [emoji817] Au sijui wewe ni mpole sana[emoji848] mtumie msg moja kali sana ya mwisho baada ya hapo hata akikutumia msg gani Au mara ngapi usimjibu na ndugu zako uwaambie wasientertain ujinga wake
 
By the way kwa nini hukumwachia MIMBA? Umetuangusha sana mabaharia!
Habari za asubuhi wana MMU, Najua mpo katika harakat za kusaka chapaa lakin sio vibaya tukishauriana hapa. Kiukwel nilikuwa na mwanamke natoka nae zahidi ya miaka tano na nilimtambulisha kabisa kwa baadhi ya ndugu zangu. Katika mahusiano tumevuka milima na mabonde ila mwenzangu alikuwa ni msiri Sana hata simu yake hajisikii vizuri ukishika ila za wenzie ni kiherehere.

Kidume nikaona isiwe tabu, lakin kadir muda ukivyokua unasonga nikagundua kuwa ana nicheat Nikimuuliza anakataa. Ki ukweli nilimpenda Sana na ilikuwa ikitokea tumekwazana anawapigia dada zangu wakati mwingine had mama kunishtaki japo ni kwa ujinga wake.

Amenikosea Mara nyingi na nimemsamee Sana. Nafikir ndio akaona ashajipatia boya lake. Mwaka jana April nikaona kamweka profile picture mwanaume nikimuuliza Anasema kaka yake. Nikamuomba namba akagoma Tukazinguana. Siku ya birthday yake Yule jamaa namwona mitandaon naye anamtakia kheri ya kuzaliwa as if ni mpenz wake.

Nikamwambia akajifanya kakasirika tukaachana. Baada ya muda kaz kuwasumbua ndugu zangu, Nami kwa kuwa nilikuwa nampenda nikarudisha moyo nyuma. Maisha yakaendelea ila December mwaka jana nampigia simu usiku anapokea mwanaume.

Baadaye akapiga kupitia namba yake kumbe Jamaa ame-divert namba ya binti. Kesho bint namuuliza anajifanya hajui nikifatilia namba ni ya Yule jamaa. Nikaona isiwe tabu nikaachana nae kiroho safi. Ila amekuwa haachi kunitafuta nimemblock vya kutosha ila kila siku Anaazima namba mpya kunitafuta.

Nimemueleza kuwa Niko kwenye mahusiano lakn bado amekuwa king'ang'anizi. Haipiti siku bila kunitafuta tena kwa namba mpya maana kila namba anayonichek nablock. Ingekua ni wewe ungefanyaje ili kuepukana na usumbufu huu maana ni kero kwa upande wangu na ndugu zangu. Uzi tayari
View attachment 1349176

Living my dreams

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom