Msaada kidogo hii imekaaje

Singasinga

Singasinga

JF-Expert Member
Aug 27, 2011
949
1,000
Wakuu

Hahaha! acha tu nicheke kwanza

Gf wangu jana alinambia kuwa bundle lake limeisha na sms alontumia ndo ya mwisho.
Mie nikamjibu "Poa ngoja nitoke mishe ntakuwezesha"

Lakini kabla ya kumtumia nikakumbuka kwamba mara mwisho nlomnunulia kifurushi mwezi haujafika inakuaje aseme kifurushi kimeisha?

Nikasema ebu ngoja nimtxt kwa namba ngeni asiyoijua,Cha ajabu alijibu vizuri tu na tukaendelea chats akitaka kunifahamu

So Nimewaza sana kwanini kanidanganya? mpaka sasa yuko kimya tangu jana hatujawasiliana anasubiri nimtumie

Kuna upendo kweli hapa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M

mangatara

JF-Expert Member
Jul 6, 2012
14,341
2,000
Huyo ana akili sana. Kama kifurushi umekipigia mahesabu hivyo, Je, unapomteremsha ile nguo ndogo si huwa unampigia mahesabu tosha kuhakikisha umemshiba kabisa hadi njaa itokee tena mwezi ujao?? Bora akuchune hata kwa bundle
 
Singasinga

Singasinga

JF-Expert Member
Aug 27, 2011
949
1,000
Huyo ana akili sana. Kama kifurushi umekipigia mahesabu hivyo, Je, unapomteremsha ile nguo ndogo si huwa unampigia mahesabu tosha kuhakikisha umemshiba kabisa hadi njaa itokee tena mwezi ujao?? Bora akuchune hata kwa bundle
Hapana kaka wala issue sio bundle
Kwanini aliamua kunambia vile wakati si kweli kwamba kaishiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jeceel

Jeceel

JF-Expert Member
Feb 6, 2018
1,070
2,000
Hahaha Kuna mambo mengine mwanaume inabidi ujikaushe ili maisha yaendelee ,kuna jamaa yangu mmoja nasikia alikuwa akihesabu nyanya na vitunguu kwa mkewe
 
Singasinga

Singasinga

JF-Expert Member
Aug 27, 2011
949
1,000
Hahaha Kuna mambo mengine mwanaume inabidi ujikaushe ili maisha yaendelee ,kuna jamaa yangu mmoja nasikia alikuwa akihesabu nyanya na vitunguu kwa mkewe
Hii issue yangu nadhan haiendani nakuhesabu nyanya
Hapa kikubwa nije kwanini aongope kwamba kifurushi kimeisha wakati sio kweli?
Lengo lake ni nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moisemusajiografii

Moisemusajiografii

JF-Expert Member
Nov 3, 2013
14,122
2,000
Wanawake huwa hawakosi vibweka ili kusukuma muda. Utazoea tu "maalim "!😂
 
Top Bottom