ERIK
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 623
- 315
Jamani Mnaweza kuhisi natania hapa ila kwa kweli upweke umenizidi, bora hata ningekuwa na ka sress kidogo ila sio huu upweke....
Wadada naombeni kampan zenu nimechokaa, Hizi ratiba za kazi nazo nadhan zinanibana kidogo nakosa time ya kukutana na nyie sehemu!
Nadhani na mazingira nayoishi pia ndyo maana naona JF itanisaidia saana
NB: age yangu ni 33yrs