This Can't be Serious

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,673
Ananipenda lakini anaogopa kuniambia anaishia kusema kwa Rafiki zake,
Nimeshtushwa sana baada ya kusikia hii leo kutoka kwa Rafiki yake kipenzi aliyemtuma aje aniombe namba zangu za Simu,

Nimemnyima na kumwambia amwambie Aje aniambie yeye mwenyewe kwa mdomo wake, ila kuhusu mimi Asiwe na Shaka kwani ata mimi nilishatokea kumpenda,

Amenipromise atamwambia na jioni hii saa moja kasoro atamleta kwangu(gheto) tuzungumze,


Cc Zero Iq

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu Mjumbe usipoteze hiyo nafasi. Hata kama Valentine imewadia.

Mwezi November mwaka jana (2019) nilipata nafasi kama hii ila yeye alituma mtoto wa Primary, barua hadi nikashangaa ila nilimuona mjanja.

Mwisho tukapeana namba tukarahisisha mambo mazuri yakafuata. Ikawa ni mwendo wa kukutana tu kule kwa siku zote.
Ila kwasasa alishakwenda mkoa mwingine.


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom