Wee jamaa sijakuelewa! Chumbani kwake mjane ulienda kufanya nini mpaka ukaona anachimna shimo na kufukia bata akiwa mzima eti tena pembeni ya ukuta? Chumbani kwa mtu? Au unamkula huyo mjane?Salaam zenu wapedwa.
Bila ya kuwachosha kuna tukio nimelishuhudia usiku wa kuamkia leo, mjane afukia bata pembezoni mwa ukuta wa chumba chake. na tumepata kuona tukio hilo baada ya vishindo vikubwa vya kubweka kwa mbwa.
Je wenye ujuzi hii inaashiria nn?
tukiacha kufuatilia maisha ya watu tutatajirika mapema