Kuna vitu huwa najaribu vifikiria kwenye maisha najipa majibu tu kuwa sitoweza,maana kama ni kujaribu kuvaa nimeshajaribu kuvaa pete za urembo za kawaida tu muda mrefu ila nimeshindwa. Sasa...
NUKUU KUU YA UZI
"Nikiamua naweza kuwa kama wewe, ila wewe huwezi kuwa kama mimi kamwe"
Hawa mabinti ni rafiki zangu, nimefahamiana nao tangu zamani sana...nakumbuka enzi hizo tulikuwa...
Watafute watu kadhaa walio kwenye ndoa, mathalani watu 10 hivi.
Kisha waambie unataka kuumba mtu mwenye taswira ya kufanana na ndoa, hivyo wakusaidie kupata picha kwamba mtu anayefanana na ndoa...
Kwa wanaojua msaada tafadhali, nimeamua kuja kwenu baada ya hii hali kunitokea mara nyingi, hivi vitu vinaashiria nini?
Katika hali isiyokuwa ya kawaida unajikuta mara kadhaa kwa nyakati tofauti...
Habari zenu ndugu zangu...
Kama kichwa cha habari kinavyooeleza...
Kidume ushapiga sounds zako, umeeleza hisia zako kinaga ubaga kwa Demu halafu Demu anakwambia "NITAKUPA JIBU NGOJA...
Week ijayo tarehe 26 my life partner ni anazaliwa nipeni ushauri nimnunulie nn km zawadi. Hii ni birthday yke ya kwanza kusherehekea pamoja tokea tuwe pamoja. Yeye ni kaka fulani ana appreciate...
Years ago when I younger, a kind of life a woman I knew. She was mine and we were sweetheart that's was then but then it's true.
This is fairlytale, cause I don't care if I loose my mind...
Mwenzako sijaumbwa kuchukia ndio maana nipo fair. Tumeachana hilo najua Ila sichoki kukusalimia, ni salamu tu usihisi labda najipendekeza.
Leo nimepita mahali nimekuta vitu uvipendavyo kuna...
Out of anger, with no one you're going to feel as good as with me. I know; still you have your heart here, I dreamed only for you, what I do.
You don't tell me only with a word, don't do this to...
TUJIFUNZE KITU HAPA
Mwanamke kutwa unalalamika wanaume waongo kwenye mapenzi wakikutumia tu wanasepa, huna hata akili ya kufikilia kwann kwako wagonge wasepe hawaingii ndani? Na daily unahudhuria...
Last year December nilihook up na msichana mmoja hivi na tukaachana baada ya wiki mbili, mwezi huo nikapata mwingine sasa huyu niliompata ni wife material yani yupo full package.
Tatizo ni yule...
Habari wakuu,
Wiki iliyopita nilienda safari ya kikazi Babati, nikiwa huko nikaamua kutafuta toto, kwa hiyo tukiwa kwenye baa moja maarufu nikaomba msaada wa mawazo kutoka kwa mwenyeji wangu...
Nimeona clip inasambaa kuna demu kabambiwa kwenye daladala hadi kakojolewa demu kamkunja jamaa kampa vichwa na ngumi. Si umuambie tu msela kama ana hengachifu akufute tuu. Mbona kwenye mziki ma...
Jamani bandugu inaniuma sana.
Yaani na ile Valentine hata wa kunipost kiuongo uongo hamna?
Achilia kuja tuka do the needful.
Yaani roho inavyoniuma kuona mtu na mtuwe wako mtu mbili.
Maumivu...
Habari za asubuhi ndugu zangu wapendwa.
Naomba tushirikiane ujumbe huu kwa Jumapili hii.[emoji116]
Kwenye kila familia kuna eneo fulani la maisha yao kutakuwa kuna mstari fulani USIONEKANA...
Najua nimekukosea sana mpenzi. Nimeenda kinyume ya agano la uhusiano wetu. Naomba unisamehe!
Haikuwa nia yangu, ni mipango mibaya ya watu. Nahisi kuna madawa waliniwekea kwenye kinywaji changu...
Mwanamke yeyote yule kwake mazungumzo hua ni emotional treatment. Hawawasiliani ili kupata taarifa na kutatua matajizo (japo hawatakubali ila huo ndo ukweli) wao mawasiliamo yapo kuwafanya...
Salam ziwafikie wana MMU wote,
Leo nimeona nije kuwacheki wadau wa MMU na kuwapa kisa cha dada mmoja maarufu sana Hollywood anaitwa Sharon Stone.
Upweke noma sana, hakuna shujaa mbele ya upweke...
Hivi karibuni mke wangu alikua mjamzito, na kwa sababu ni mimba ya kwanza kwa utaratibu ilitakiwa akajifungulie nyumbani kwetu yaani kwa wazazi wangu. Kwakua sikupenda awe mbali na mm sikutamani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.