Happy Valentines R. Wami🥰

client3

JF-Expert Member
Aug 6, 2007
2,332
3,152
Morning love,
Happy Valentines🥰😘😍😍 Nakupenda sana, through wewe nimejua why watu hujiua kwa mapenzi, watu hukonda kwa mapenzi, watu hulilia mapenzi, najua huwezi kuamini haya lakini haiondoi ukweli wangu.

Nathubutu leo kusema mimi sikujua mapenzi ni nini before! Nilikuwa na taswira tofauti ya mapenzi, leo hasa naujua uchungu na maumivu ya mapenzi, maana ni penzi lako tu limeniliza, limeninyima kula, limeninyima usingizi at times.

Lakini kizuri hizo few beautiful moments nimeshare na wewe zimestick ubongoni ndio hunifanya nisahau maumivu haraka sana,they are my pain killers!
Nakupenda mpenzi🥰😍😘
 
Instead of y'all giving recognition to dudes who aint deserving it on your WhatsApp status updates, This valentine's Day pamper yo' mama with love , be with her as you see the sun sets,take her out for dinner.

Y'will forever be blessed ❤️
 
'Few beatiful moments😀😀😀😀' siku taa yekundu ikiwaka we usisite kuja kutuomba ushauri. Sijui nimesema hivi kwa kuwa mimi niko single🙉🙉🙉
 
Morning love,
Happy Valentines🥰😘😍😍 Nakupenda sana, through wewe nimejua why watu hujiua kwa mapenzi, watu hukonda kwa mapenzi, watu hulilia mapenzi, najua huwezi kuamini haya lakini haiondoi ukweli wangu.

Nathubutu leo kusema mimi sikujua mapenzi ni nini before! Nilikuwa na taswira tofauti ya mapenzi, leo hasa naujua uchungu na maumivu ya mapenzi, maana ni penzi lako tu limeniliza, limeninyima kula, limeninyima usingizi at times.

Lakini kizuri hizo few beautiful moments nimeshare na wewe zimestick ubongoni ndio hunifanya nisahau maumivu haraka sana,they are my pain killers!
Nakupenda mpenzi🥰😍😘
who is that?
 
Hivi leo ndio watu wanachapana sana eeh!

Hongereni kwa kudumisha upendo kwa ndugu, jamaa na marafiki. Najua siku ya leo sio kwa ajili ya mahusiano ya kingono pekee, bali upendo wa kweli kwa wale wanaotuzunguka.
Happy Valentine kaka yangu kipenzi
 
Back
Top Bottom