Mjadala; Unaweza kuitenganisha siku ya wapendanao na uhusiano wa kingono?

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,279
21,396
Saikolojia inatuambia!

Watu huishi kwa misingi ya chimbuko!

Muasisi wa jambo flani hurithisha tabia kwa wafuasi wake kizazi hadi kizazi!

Mfano;
Chimbuko la wahehe kujinyonga lilianzishwa na machief wa kihehe ndiyo maana tabia imerithiwa kizazi hadi kizazi cha wahehe!

Chimbuko la Wangoni; ni kwasababu Chief wao alikamatwa Ugoni na mke wa mtu; ndiyo maana wangoni wanapenda ngono kama wamechanjiwa nyeti!

Hata wakristu wanaamini Sadaka ya LIMBUKO (kutoa faida ya kwanza yote kama sadaka) kuwa ina nguvu kubwa sana kuliko sadaka zingine!

Hivyo basi! Siku ya Valentine ni kielelezo kwamba ni siku ya viapo vya damu na nyama, ni siku ya Lucifer, ni siku ya upendo wa kinafiki! ni siku ambayo ngono ipo mnadani!

Huwezi tenganisha Siku hii na kufanya ngono Abadani!

Maana hata kama utampelekea zawadi ya valentine mama au baba, utakuwa unafanya hivyo kwasababu wazazi wako walifanya mapenzi kukuzaa wewe!

SAA 10:28 VYUMBA MTAANI KWETU VIMEJAA

Karibuni kwenye mjadala
 
Wenzio tunaenda huku
20200213_172056.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom