Wanawake wapambanaji huwa hawasherehekei valentine

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,383
40,281
Wanawake wapambanaji huwa hawasherehekei valentine

Wengi wako bize na mambo ya msingi ya maendeleo ya taifa na familia zao. Ila wale vicheche sasa,ambao sio wapambanaji kimaisha au kwa lugha nyingine wachunaji,ndio wanaoongoza kwa kusherehekea mambo haya.

Pia kumbuka,debe tupu haliachi kutika
 
If you know what i mean....





constancezacharias-20200214-0001.jpg
 
Wanawake Wapambanaji Wa Kanisa Moja Takatifu Katoliki la Mitume walioolewa na walio katika Uchumba Mtakatifu Leo Ni Siku Muhimu Kwao. Wanaisherekea na Kumuomba Mwenyezi Mungu awajalie kupendwa Daima kwa Maombezi ya Mtakatifu Valentine, Padre, Kwa Njia Ya Kristo Yesu Bwana Wetu. Amina.
 
Back
Top Bottom