Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 4,941
- 6,190
Wadada wa Kiaftika hawajiamini na hupenda kujilinganisha na wa kizungu. Kuvaa mawigi, kujichubua, kujkondesha nk.
Je Dada zetu wanajiona hawafai dhidi ya wanawake weupe. Mimi naona Dada zetu weusi ni wazuri kupita wazungu.
Je wewe unaonaje hasa ukizingatia Valentine's day.
Picha kwa msaada wa Google
Wadada wa kizungu:
Wadada wa kiafrika:

Attachments
-
download (2).jpg3.1 KB · Views: 4
-
VIP - Part 2- Learn the art of matching your hijab to your skin tone! » Hidden Pearls.jpg29.4 KB · Views: 3
-
Another perception of Oshun_ As the Orisha of beauty, prosperity, abundance, love, and gold co...jpg41.5 KB · Views: 2
-
65+ trendy ideas nails dark blue black lips.jpg21.9 KB · Views: 2
-
photo-1567037782848-d0fe9a51ec4c.jpg31.9 KB · Views: 2