Siamini valentine hii naspend na demu hata haeleweki

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
10,087
15,961
Baada ya kuharibu wik iliyopita kwa mara ya kwanza after 6 yrs ya mahusiano mbalimbali, nmekosea timing bint kaona msg za wenzie wawil, ingawa hao nilishaachana nao mda mrefu sana ni vile tuu mim na ma x huwa tunaendelea kuwasilianaga with no effect.

Amechukia sana had mim mwenyew nimejiskia vibaya sana,.. Ni bint yule haongei sana anaongea na machoz tuu,huruma nmeona mim.

Bifu nzito na valentine hii wakuu.. Kwel umuhim wa mtu unauona akiwa hayupo

Sasa dah, hata kama, valentine hii siwez kua peke yangu,kuna bint mmoja ofisini ambae naamin ananipendaga sana yaan inakuaga mim tuu nimkubalie,

,nampeleka kwake tunatoka leo, na ntalala kwake, sasa najiuliza huyu hanaga bwana au? Vp mbona kakubal mwaliko easily,
kwanza sio !

Yeye ndo kanialika kwake leo

Uzi tayar...well ili ni enjoy leo na huyu bint inabid nilewe,... Huwa nna perfomance mbaya sana kwa product mpya ambayo si hot kivile, had nimzoe zoee ndo huwa nakua kwenye ubora wangu
 
Mkuu ww unaogopa kudhalilika tu najua...

Sent from my SM-G9550 using Tapatalk
 
Kutokana na hivyo unavyoongea sifikirii kama unafnya kazi ofisini
 
Siku ya valentine day asili ni kutoka dola ya warumi ambapo watawala was dola ya kirumi walikua na fikra ya kueneza dola yao duniani kote hivyo kuuteka ulimwengu na kuitawala dunia.Nguzo kubwa ya kufanikisha lengo ilo ilikua ni kuwatumia vijana hivyo vijana hawskutakiwa kuoa na badala yake walipaswa kujiunga na jeshi.Hawakutakiwa kuoa kwasababu walipaswa,kua huru kutumika kwenye dola (kwenda vitani kupigania nchi) tofaut na ambavyo wangeoa.Vijana wengi walijikuta wakifanya ngono zembe kihorera bila ndoa kitu kilichomwinua padre valentine kupigania vijana waoe kwani kufanya ngono bila ndoa ni dhambi na kitu kisicho kubalika mbele ya Mungu.Kwasababu watawala was dola ya kirumi hawakutaka vijana wafunge ndoa,padre valentine akaamua kuanzisha kampeni ya kuwafungisha ndoa kwa siri kwenye makatakombe(maandaki chini ya kanisa ambako Luna sehemu za ibada za watu wachache).Baadhi ya watu walifichua siri iyo hivyo padre valentine alishikwa na kuuwawa kama mfia dini.Ikaenea katika kanisa na nchi za magharibi na hata duniani kote ambapo wanakanisa wanamkumbuka mt.padre valentine kama mtetez wa kanisa kwa watu kufunga ndoa.Baadae ilipokelewa na watu hats wasio na imani ya kikristo kwa maudhui mengine kabisa kwamba ni Siku ya wapendanao hats kwa wasio wanandoa,ilimradi wanapendana kitu ambacho ni kinyume cha malengo ya mfiadini wetu padre valentine alietaka watu wafunge ndoa badala ya kua na vimada....Happy Valentine day Wanandoa wote!!!!!!!!!!!!!!??
 
Ngono tunafanya sana,acha Leo nikusanye wana tukagonge vyombo na nyama mana Nina kibunda hakina kaz.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom