Ndugu wapiga mizinga kaa nao mbali sana.

Buzi Maarufu

JF-Expert Member
Oct 30, 2019
423
330
Sio kila ndugu anafaa,sio kila ndugu anayekuomba msaada kashindwa ,walio wengi wanakuja kwako kwasababu wameshagundua pesa zako huna malengo nazo zipozipo tu,wanakuona mpumbavu fulani,fanya uchunguzi utakubaliana na mimi,Kama una pesa wekeza kwa ajili ya familia yako ziwasaidie siku utakapokuwa umetangulia mbele ya haki,maana hao ndugu zako feki hawatakuwa na msaada wowote kwa familia yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukishagundua kuwa,kila mmoja atakuwa na familia yake,na mapenzi yataamia kwa familia yake...hakuna haja ya kuumiza kichwa. Kaka,dada,wadogo zako watakuwa na familia zao..kwa hiyo kwa baadaye wao kuja kuwajali familia yako ni probability
 
Tatizo nini ?
 
Wapo wengine unaweza ukamuona kabisa huyu anaweza kuisadia familia yangu,Kuna wengine ndugu wa msimu tu hawezi kukutafuta akujulie hali,ukiona simu yake lazima ujiandae kupigwa mzinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom