Ukiwa na mke mshirikina tambua Sangoma mume mwenzio

Siri ya sifuri

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
2,014
1,498
Habari wakuu? Nimeona niwawahishie taarifa motomoto kabla haijapoa, Leo asubuhi baada ya mishe zangu kufeli nikapendelea kwenda kupoteza muda kwa rafiki yangu ambae ni mganga wa kienyeji, nje kidogo ya jiji la Daresalam.

Ana banda la vyumba 2 kakodi ndio ofisi yake mwenyewe haishi hapo,nilipofika alikuwa ametoka lakini kulikuwa na mdada anamsubiria hivyo nikajiunga nae, nilipomdadisi yule Dada akanambia ni mke wa MTU na alishaanza kupatiwa tiba ila hajafanikiwa ndio amerudi tena ila tatizo ni siri yake hawezikuniambia.

Punde yule mganga akafika na kumkaribisha ndani, baada ya kuongea naye bwana mganga akaja nje nilipo Mimi, akanambia huyu mgonjwa wangu anataka kumfunga mumewe asiwe na wanawake nje ya ndoa sasa kuna dawa anatakiwa apakwe kwenye maziwa na sehemu ya siri ndani kwahiyo anatakiwa MTU wakumpaka na kwamba yeye hawezi kwasababu anamke wake.jinsi ya kumpaka sasa, anatakiwa mpakaji ambae ni mwanaume aweke ile dawa mdomoni halafu mnyonye maziwa yule mwanamke kisha amrambe na chini pia,halafu apake ile dawa kwenye kichwa cha uume kisha amuingilie ili dawa iingie ndani kabisa ya uke ndio aweze kumfunga mumewe.

Yule mwanamke amekubali ila Mimi nikakataa ingawaje alitakiwa kunilipa kwa kazi hiyo. Baada ya Mimi kukataa ikabidi zoezi lighairishwe hadi kesho msaidizi wa mganga atakuwepo maana Leo hakuwepo alikuwa na dharura. Ndugu yangu kama una mke mshirikina habari ndio hiyo.
 
Back
Top Bottom