Malawi na Zambia Wanawake hawana mvuto kabisa

Major

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2007
Posts
1,865
Reaction score
2,453
Nimezunguka sana Nchi nyingi Za Africa , nimegundua kwamba, wanawake wa Malawi na Zambia hawana mvuto kabisa. Hawako romantic kabisa, sijui kwanini. Na sijui ni Mimi tu huwa naionaga hii hali au kuna wengine?
 
hata South kwa Ramaphosa kichefu chefu
 
Nimezunguka sana Nchi nyingi Za Africa , nimegundua kwamba, wanawake wa Malawi na Zambia hawana mvuto kabisa. Hawako romantic kabisa, sijui kwanini. Na sijui ni Mimi tu huwa naionaga hii hali au kuna wengine?
Hata chura hawana
 
Na sijui ni Mimi tu huwa naionaga hii hali
mkuu naomba nikuongezee ufahamu, mtu unayemuona sura na umbo lake just an illusion mtu halisi ni brain(mind) usidanganywe na chochote what worth kwa binadamu ni energy yake tu, binadamu wote ni sawa siyo sura au umbo.
Fikiria whats behind an ugly man can marry any woman of his choice????!!!
Thanks
 
Unasemaje weweee
SA kuna miji mizuri ndio wazungu, wapo na colored na weusi kama sis, OG ni bongo watoto wa kisambaa na kipare na wanyaturu , wachaga enda kusini huko mbeya iringa , wazaramo ndio balaa utakuta mtoto hajijui kama yeye mkali dizain tofauti kibao ladha yako tu tumefika huko mjomba tusiongopeane , labda kule kuuza papuchi kama imehalalishwa vile ndio imeharibu kabisa.
 
Nimezunguka sana Nchi nyingi Za Africa , nimegundua kwamba, wanawake wa Malawi na Zambia hawana mvuto kabisa. Hawako romantic kabisa, sijui kwanini. Na sijui ni Mimi tu huwa naionaga hii hali au kuna wengine?
Kichwa chako cha habari ni moja ya vitu vinavyoitwa: blanket statements or sweeping generalisations. Unazungumzia wanawake wangapi uliokutana nao kati ya idadi gani ya wanawake wote wa Malawi na Zambia na ukakuta hawana 'mvuto kabisa' na kwa criteria zipi? Labda tuanzie hapo.
 
hawana mvuto full stop.
 
mkuu naomba nikuongezee ufahamu, mtu unayemuona sura na umbo lake just an illusion mtu halisi ni brain(mind) usidanganywe na chochote what worth kwa binadamu ni energy yake tu, binadamu wote ni sawa siyo sura au umbo.
Fikiria whats behind an ugly man can marry any woman of his choice????!!!
Thanks
Hujamuelewa au uko off-topic kwani yeye anao ngelea mvuto sio masuala ya kua na brains....kitandani hatuhitaji brain tunahitaji mvuto na hisia
 
Beauty belongs to the eye of beholder
Feelings is the language of the brain🙏🙏
 
Wana sura kama za wanaume na maumbo shupavu
Kabisa Mkuu, kuna Siku nilijaribu nikaingia naye ndani. Duh. Nilimpa dola 20 nikamwambia aondoke nimeumwa kichwa ghafla. Sikupata Muzak naye kabisa
 
Back
Top Bottom