Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Maalum kwa wale ambao bado hawafahamu *Mtakatifu Valentino* Mtakatifu Valentino alikuwa ni padre wa Roma (Italia) ambaye aliishi kwa kuishuhudia imani ya kikristo kati ya mwaka 197 na 273. Kanisa...
5 Reactions
23 Replies
5K Views
Mimi nataka niulize hivi binadamu wote wanapenda romance au ni baadhi? Pia ninavyojua ni rahisi kufanya sex na mtu usiyempenda, lakini ni ngumu sana kufanya romance na mtu usiyevutiwa nae...
6 Reactions
166 Replies
20K Views
Hellow wapendwa , Poleni na majukumu Leo nimejisikia tu vyema kuandika hili jambo mana huenda kuna anayelia lia huko akidhani yuko peke yake /dunia imemtenga Jibu ni HAPANA , amka , hauko peke...
5 Reactions
32 Replies
3K Views
Habari za humu wakuu.... Ni siku 9 tu zimebaki ifike siku ya wapendanao duniani. Najua kwa tulio na wapenzi tumejipanga ipaswavyo kuhakikisha siku hiyo tunayahuisha mahusiano na wapenzi/ wake...
4 Reactions
84 Replies
10K Views
Ni sababu ipi inayokufanya utafute mpenzi?Je ni kwa sababu ya umri umefika, au ili kuondoa upweke ulionao,au ili kupata watoto,au kusaidiana kimaisha, au ili upate uhakika wa tendo muda wote...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Hivi age difference sahihi kwa wapenzi inatakiwa kuwa ni ngapi ?
0 Reactions
52 Replies
5K Views
Kuwa na wapenzi wengi,ni ujanja ama ushamba? Unakuta binti ana wanaume lukuki, kila mmoja anapangiwa muda wake na mbaya zaidi unakuta hawafahamiani. Hivyo hivyo kwa wanaume pia, wanakuwa na...
2 Reactions
56 Replies
5K Views
Hakuna sehemu yenye vijidudu vya magonjwa Kama mdomoni. Bahati mbaya sana wanaume wengi hawawezi kufanya mapenzi bila kutumia mate Jambo ambalo linawaacha wanawake wengi na maradhi ya ukeni baada...
18 Reactions
254 Replies
28K Views
Mtihani wenu mkubwa katika maisha ya mahusiano ni pale mpenzi mpya anapoomba game... Huwa mnawaza sana size ya maumbile ya mwanaume na huwa inawapa "homa" pale unapoona dole gumba na sign zote...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Nina rafiki yangu kipenzi sana ambaye tumetoka nae mbali sana, huyu jamaa huwa analia na kuumia sana kwa tatizo kubwa moja, anadai kuwa hapendwi na wasichana lakini hajui ni kwanini. Jamaa...
5 Reactions
92 Replies
8K Views
Wakuu nilikuja hapa na uzi siku chache zimepita nikijifaliji kua ninalo tumaini kuwa nitapata kipenda roho.. baada ya kuwa single kwa kipindi..kidogo. Nilikua nataman sana kupata wa kupendana...
2 Reactions
50 Replies
5K Views
Habari ndugu wataalam wa ndoa na saikolojia? Hivi huwa kuna tafsiri gani ya kisaikolojia mwanamke kumshonea mume wake mashati ya vitenge na hata kitenge kununuliwa na kugawanywa moja anashona...
2 Reactions
88 Replies
19K Views
Wenyemichepuko mpooooo! Tag kero yako inayo yokufanya uwe na mchepuko. Wanandoa mpoooo. 1. Tamaa Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
102 Replies
13K Views
Mimi ni wa mwisho niliyetokea kwa bahati. Mpaka kesho kaka yangu ninaemfuata ana mind nimemnyang’anya title yake. Kuna gap ya five years kati yetu. Maana yake wote walipokuwa boarding nilikuwa...
40 Reactions
279 Replies
22K Views
Kuna vitu huwa najaribu vifikiria kwenye maisha najipa majibu tu kuwa sitoweza,maana kama ni kujaribu kuvaa nimeshajaribu kuvaa pete za urembo za kawaida tu muda mrefu ila nimeshindwa. Sasa...
2 Reactions
36 Replies
6K Views
NUKUU KUU YA UZI "Nikiamua naweza kuwa kama wewe, ila wewe huwezi kuwa kama mimi kamwe" Hawa mabinti ni rafiki zangu, nimefahamiana nao tangu zamani sana...nakumbuka enzi hizo tulikuwa...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Hao walikutwa huko kwao wakijiachia kwa raha zao bila kujali watu wanawafikiriaje.. Mapenzi hayana chizi
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Watafute watu kadhaa walio kwenye ndoa, mathalani watu 10 hivi. Kisha waambie unataka kuumba mtu mwenye taswira ya kufanana na ndoa, hivyo wakusaidie kupata picha kwamba mtu anayefanana na ndoa...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Kwa wanaojua msaada tafadhali, nimeamua kuja kwenu baada ya hii hali kunitokea mara nyingi, hivi vitu vinaashiria nini? Katika hali isiyokuwa ya kawaida unajikuta mara kadhaa kwa nyakati tofauti...
0 Reactions
32 Replies
27K Views
Habari zenu ndugu zangu... Kama kichwa cha habari kinavyooeleza... Kidume ushapiga sounds zako, umeeleza hisia zako kinaga ubaga kwa Demu halafu Demu anakwambia "NITAKUPA JIBU NGOJA...
3 Reactions
118 Replies
21K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…