Age difference

fazaa

JF-Expert Member
May 20, 2009
2,985
0
Mwanaume anatakiwa awe ana miaka 2-5 mkubwa kwa mwanamke, kama mnataka kuowana.

Kama mnataka ku sex tu hata mkiwa mmezidiana miaka 50 hakuna noma.
 

MadameX

JF-Expert Member
Dec 27, 2009
7,813
2,000
Mwanaume anatakiwa awe ana miaka 2-5 mkubwa kwa mwanamke, kama mnataka kuowana.

Kama mnataka ku sex tu hata mkiwa mmezidiana miaka 50 hakuna noma.
Mmoja lazima atakuwa low performer.
 

Kaunga

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
12,546
2,000
Mkubwa awe nani?Mwanaume au mwanamke?

Mwanaume, maana uzoefu unaonesha wanaume wanachelewa kumature.

Ila ikiwa mwanaume yu above 30 hata akioa mwanamke wa 45 ni sawa coz hapo mwanaume kesha mature tayari.
 

harakat

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
2,890
2,000
Mi nona mwanamke maana vibabu vinafiaa sana kwenye magest kumbe kibinti kilimpa kazi ngumu ya kuchungulia wapita njia nje wewe chezea 6x6
 

Cpp

JF-Expert Member
Nov 1, 2012
518
1,000
Umri ni namba tu, mkipendana manwekana ndani acheni uwoga mradi wote kunako bed mnawezana
 

Makene

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,476
1,195
ukishampata mnayependana, piga hesabu uone tofauti ya miaka, kisha tumia hiyo tofauti kupata ujuzi nini cha kufanya.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom