Nisaidieni kuamua hii kesi

Nebuchadinezzer

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
1,403
2,545
NUKUU KUU YA UZI

"Nikiamua naweza kuwa kama wewe, ila wewe huwezi kuwa kama mimi kamwe"

Hawa mabinti ni rafiki zangu, nimefahamiana nao tangu zamani sana...nakumbuka enzi hizo tulikuwa tunaishi kijijini kwa bibi, Kigoma.

Kama bahati, nimesafiri nao kila sehemu katika safari yao ya elimu.
Tunaheshimiana sana na tunapendana zaidi ya kawaida kiasi kwamba mtu asiyetufahamu anaweza kusema ni mtu na mpenzi wake na dada yake.

Nakumbuka siku ya valentine ndio ilikuwa siku yangu ya mwisho kuonana nao, maana walinialika ghetto kwao ili tukasherekee nao siku hyo.

Kwa kifupi, huwa na-enjoy kampani yao. Na siku ya valentine tulifurahia sana mpaka mida ya saa 2 ucku, mida yangu ya kuwa home.

Leo bhana nmepokea taatifa mbaya kuwa hawa rafiki zangu hawaongei tena, na jana wamepigana mbele ya watu nje ya kanisa. Na mmoja wao amelazwa maana amepata majeraha kidogo sehemu za usoni.

Leo asubuhi nilienda kumuona mgonjwa pale alipolazwa, niliona sio busara mwenda bila chochote, nilipitia sokoni nikamnunulia ma-,apple na ndizi na parachichi.

Katika kumjulia hali aliniambia chanzo cha ugomvi wao ni kurushiana maneno. Mgonjwa alisema kuwa rafiki yake alimtukana kuwa yeye ni mshamba, eti ushamba wa Kasulu, asiulete Dar, jiji la wajanja.

Baada ya kutukanwa huyu mgonjwa akamjibu
"Nikiamua naweza kuwa kama wewe, ila wewe huwezi kuwa kama mimi kamwe" na ndio ikawa chanzo cha kugombana.

Wadada bhana yaani wanagombana kwa sababu za kishamba sana. Sikuamua kuishia hapo, ikanibidi nimuulize, kwa hiyo hicho ambacho mwenzako hawezi kuwa nacho ni nini ?

Akabaki ananiangalia tu. " Au ni simu kali ya IPhone X " nilimuuliza. "Hapana" alijibu.

Nikaona niachane nae, nikampa matunda akala, tukaendelea na stories za hapa na pale, badae nesi wa zamu akanambia muda wa kuwaona wagonjwa umeisha. Nikatoka zangu huku nikiwa nawaza na kuwazua kitendawili hichi kilichowagombanisha.

Muda huu nimekaa zangu hpa nje ya garden ya nyumbani, nikinywa juice yangu ya embe, nikaona sio mbaya kama nikishare kitendawili hiki kwa ma-great thinkers tupate jibu angalau ni kipi hiki kitu ambacho wengine hawawezi kukipata kamwe.

Ni hayo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yani mimi sijakuelewa kabisa...hii story yetu ninatufundisha nini????
 
Walikuwa wanatamkiana maneno ya kuudhi, huyu akimwambia mwenzie mshamba na huyu mshamba akaamua kugusa panapouma

Sent using Jamii Forums mobile app

sasa mbona huyu mleta mada anatuchomesha mafuta kung'amua chanjo cha umgovi badala ya yeye kuwauliza mwenyewe...hii nayo ni moja ya matumizi mabaya ya rasilimali fikra...

mi nilidhani wanamgombea kumbe wanayao...
 
Ushamba ni fashion siku hizi.

Hata rais mshamba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa mbona huyu mleta mada anatuchomesha mafuta kung'amua chanjo cha umgovi badala ya yeye kuwauliza mwenyewe...hii nayo ni moja ya matumizi mabaya ya rasilimali fikra...

mi nilidhani wanamgombea kumbe wanayao...
Ha ha ha!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom